Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sikuwa na jibishana na wewe. Nakusii utulie tu....kama nimekukwoti twaweza jibishana kama kuna open reply poa tu, ila nikiwa najibishana na mtu mwingine hapa wewe tuliza makalio hayo. Tulia kabisa ndugu, naona unaanza kuuparamia paramia tu. Tulia.Basi kamshauri afungue kesi ya madai dhidi ya Jamii forum na Facebook au istagram. Maana kwa mtu mmoja mmoja Yale ni maoni, tunaita fair comment ambayo Ni defence.
Sheria yetu ya defamation hairuhusu madai kama hayo ====================Kusema Mama Janeth naye aje kupata uwakilishi nayo kwa mujibu wa Sheria zetu sio sahihi?
Umenisoma vizuri au na wewe umekurupuka tu?
Watamfilisi Mali zote.
☝️Tunaomba haki itendeke kwa waliomchafua Magufuli pia nae alipwe fidia alitukanwa sana mitandaoni
Sasa ni wapi hapo hata nilipo onyesha au kuashiria kuwa alitukanwa kwa sababu ya Mme wake???Mie naomba atokee Mwanasheria ambaye ataweza kuja Kumwakilisha Mama Janeth Magufuli.
Halafu tuje tuone jeuri ya bando.
Nani aliyekurupuka hapo?Defamation haina uwakilishi Kwa mjibu wa Sheria zetu, Yule aliyetukanwa ndiye anatakiwa kulalamika tu na sio vinginevyo.
Acheni kukurupuka kupost vitu msivyovifahamu
Asipolipa itakuwaje??
Nakazia Kwanini isiwe TBCChanzo Swahili times? Why Sio Millard Ayo, wasafi Media na wala sio Mwananchi Com..??
Waliokuwa wanamchafua Magufuli nani kawashtaki??
Ikipelekwa kesi mahakamani kama ya Musiba na ushahidi ukawepo kuwa alichafuliwa bila shaka atalipwa fidia naye huko aliko [emoji23]
Tujikumbushe
Jipe faraja.
Sukuma Gang kamsaidieni punga mwenzenu kulipa faini huko
HIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.Hapana. Aende akakae jela angalao miaka 2, ndipo aachiwe.
Halafu afuatie Makonda, naye akakae miaka 2.
Yaani ni mmoja baada ya mwingine.
Sabaya amemaliza zamu yake.
Sijui aliwaokota wapi?. Huku Musiba anaropoka ujinga kule Sabaya anahangaika kukusanya Kodi kwenye Wilaya isiyo yake.Magufuli alikuwa hana akili timamu.
Angekuwa na akili timamu asingetumia vijana wa hovyo kuujenga msingi wake.
Mwisho wa siku tukaubomoa msingi wenyewe
Mbowe alifungwa lini?. Tofautisha mahabusu na kufungwa kifungo.HIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.
Maisha yamejaa kukomoana.Kwani alichokuwa anafanya msiba si kukomoa wakosoaji wa jiwe?Acha na yeye wamkomoe.Hata hivyo naamini kila hukumu Ina muda maalumu wa kukata rufaa,Msiba hakufanya hivyo hivyo aliridhika na hukumu.Kilichobaki ni kutekeleza hukumu.Hakika
hoja yangu ni kuwa mahakama isitumike kama silaha. Hukumu ilishatolewa ameamriwa kulipa. Hajalipa, Je kuna muda maalum aliyopewa katika hukumu ya awali ya amri hii kutokea?
Kama alipewa muda, sina la nyongeza, ila kama hakupewa muda maalum, naona sasa imefikia pahali Membe anataka kumkomoa.Kwani sioni membe akiwa ana njaa ya hiyo pesa kiasi cha kupeleka/kuomba mahakama kutoa siku kumi na nne ilipwe.
keep in mind, mie sio mwanasheria. ila naona Cyprian anauwezo wa kupinga au kukatia rufaa amri hii
Sikuwa na jibishana na wewe. Nakusii utulie tu....kama nimekukwoti twaweza jibishana kama kuna open reply poa tu, ila nikiwa najibishana na mtu mwingine hapa wewe tuliza makalio hayo. Tulia kabisa ndugu, naona unaanza kuuparamia paramia tu. Tulia.
Ahsante kwa majibu. Tulia