Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Basi kamshauri afungue kesi ya madai dhidi ya Jamii forum na Facebook au istagram. Maana kwa mtu mmoja mmoja Yale ni maoni, tunaita fair comment ambayo Ni defence.
Sikuwa na jibishana na wewe. Nakusii utulie tu....kama nimekukwoti twaweza jibishana kama kuna open reply poa tu, ila nikiwa najibishana na mtu mwingine hapa wewe tuliza makalio hayo. Tulia kabisa ndugu, naona unaanza kuuparamia paramia tu. Tulia.
Ahsante kwa majibu. Tulia
 
Unaambiwa mtegemee Mungu tu siku zote usimtegemee binadamu mwenzako, sasa ataipata huyo bwege.
 
Kusema Mama Janeth naye aje kupata uwakilishi nayo kwa mujibu wa Sheria zetu sio sahihi?

Umenisoma vizuri au na wewe umekurupuka tu?
Sheria yetu ya defamation hairuhusu madai kama hayo ====================
Sheria yetu kuhusu defamation inamhusu yule mtu directly aliyeumizwa/kushambuliwa ndiye anaweza kudai fidia
====================.
Mama Janeth kisheria hawezi kufungua kesi ya defamation eti kaumizwa Kwa sababu mume wake alishambuliwa .
Kwa Sheria zetu hayo madai hayakubaliki.
Kuhusu kwamba Membe alijiwakilisha yeye mwenyewe mahakamani, inawezekana alitumia mwanasheria kumuwakilisha hilo ni suala lingine.
≠===================
Ninachosema Sheria inakataa mtu mwingine kulalamika kwamba ameumizwa kutokana na mtu mwingine kutukunwa.
Hata kama Mama Janeth atumie mwanasheria haitakubalika eti mwanasheria awasilishe hoja kwamba namwakilisha mteja wangu ( Mama Janeth) ambaye analalamika kwamba ameumizwa Kwa kitendo cha Mume wake (Magufuli) kutukanwa hivyo naomba fidia
[/QUOTE]
====================
 
JAMAA Ali feel euphoria na overconfidence,ego and arrogance zilimjaa mno. Yaani mtu ukipata cheo ama pesa ndio inatakiwa uwe na busara ya kufa mtu Mana kila jicho lipo kwako. Ila Sasa wewe ndipo unavimba unajisikia ama unaona binadamu Kama wewe Ni sawa na sisismizi unaweza ukawakanyagakanyaga na ukawafinyangafinyanga.
Hapo ndio mwanzo wa kuanguka baadaye watu wanacheka na kufurahia ukianguka unabakia kujiliza na kutaka huruma na kujitetea kuwa watu wanafurahia kuanguka kwangu ama wanafurahia ufilisike.
Ishu ulikuwa unawanyanyasa ama unawapa maumivu badala ya furaha.
Wape furaha baadaye uanguke uone Kama hawataumia mno Ila Sasa wape maumivu baadaye uanguke uone.
Wapo watu wanaonguka bahati mbaya wananyanyuliwa na watu kwa jinsi tu ya walivyoishigi na watu
 
Tunaomba haki itendeke kwa waliomchafua Magufuli pia nae alipwe fidia alitukanwa sana mitandaoni
☝️
Huu ndio mtiririko wa mawazo yangu kufuatia alichokisema qamara Nilichokisema nakukazia hiki hapa👇
Mie naomba atokee Mwanasheria ambaye ataweza kuja Kumwakilisha Mama Janeth Magufuli.

Halafu tuje tuone jeuri ya bando.
Sasa ni wapi hapo hata nilipo onyesha au kuashiria kuwa alitukanwa kwa sababu ya Mme wake???
Defamation haina uwakilishi Kwa mjibu wa Sheria zetu, Yule aliyetukanwa ndiye anatakiwa kulalamika tu na sio vinginevyo.
Acheni kukurupuka kupost vitu msivyovifahamu
Nani aliyekurupuka hapo?
Na nimekuuliza Mtuturas.....Unafikiri mama Janeth hajatukanwa au kushambuliwa humu? Narudia Unataka kusema kuwa Mama Janeth Magufuli hajawahi kuwa defamed humu wakati watu wanamjadili Mme wake?
 
Waliokuwa wanamchafua Magufuli nani kawashtaki??
Ikipelekwa kesi mahakamani kama ya Musiba na ushahidi ukawepo kuwa alichafuliwa bila shaka atalipwa fidia naye huko aliko [emoji23]

Magufuli ndio anatakiwa ashtaki Kama ni madai lakini Kama ni jinai jamhuri ndio itashtaki.
 
Hapana. Aende akakae jela angalao miaka 2, ndipo aachiwe.

Halafu afuatie Makonda, naye akakae miaka 2.

Yaani ni mmoja baada ya mwingine.

Sabaya amemaliza zamu yake.
HIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.
 
Magufuli alikuwa hana akili timamu.
Angekuwa na akili timamu asingetumia vijana wa hovyo kuujenga msingi wake.
Mwisho wa siku tukaubomoa msingi wenyewe
Sijui aliwaokota wapi?. Huku Musiba anaropoka ujinga kule Sabaya anahangaika kukusanya Kodi kwenye Wilaya isiyo yake.
 
HIzi story za Makonda afungwe afungwe kwa kosa gani? Makonda anadunda tu mtaani. Na alifungwa Mbowe, Makonda hajawahi kaa hata mahabusu. Nyie mliaminisha umma kuwa Makonda ana makosa mengi sana. Kumbe wala si kweli. Mpaka leo miaka miwili toka Magufuli afariki Makonda hajafunguliwa kesi yoyote ile.
Mbowe alifungwa lini?. Tofautisha mahabusu na kufungwa kifungo.
 
Hakika


hoja yangu ni kuwa mahakama isitumike kama silaha. Hukumu ilishatolewa ameamriwa kulipa. Hajalipa, Je kuna muda maalum aliyopewa katika hukumu ya awali ya amri hii kutokea?

Kama alipewa muda, sina la nyongeza, ila kama hakupewa muda maalum, naona sasa imefikia pahali Membe anataka kumkomoa.Kwani sioni membe akiwa ana njaa ya hiyo pesa kiasi cha kupeleka/kuomba mahakama kutoa siku kumi na nne ilipwe.

keep in mind, mie sio mwanasheria. ila naona Cyprian anauwezo wa kupinga au kukatia rufaa amri hii
Maisha yamejaa kukomoana.Kwani alichokuwa anafanya msiba si kukomoa wakosoaji wa jiwe?Acha na yeye wamkomoe.Hata hivyo naamini kila hukumu Ina muda maalumu wa kukata rufaa,Msiba hakufanya hivyo hivyo aliridhika na hukumu.Kilichobaki ni kutekeleza hukumu.
Halafu nyie supporters wa Msiba na Jiwe mlikuwa na wakati mzuri kipindi kile jiwe anakanyaga kila mtu,ni zamu yenu kukaa kimya na kumeza machungu
 
Sikuwa na jibishana na wewe. Nakusii utulie tu....kama nimekukwoti twaweza jibishana kama kuna open reply poa tu, ila nikiwa najibishana na mtu mwingine hapa wewe tuliza makalio hayo. Tulia kabisa ndugu, naona unaanza kuuparamia paramia tu. Tulia.
Ahsante kwa majibu. Tulia

Tuliza Makalio mwenyewe. Usinizoee.
 
Back
Top Bottom