Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Mahakama imetoa siku 14 tu Musiba awe amemlipa mzee Membe.

Ikumbuwe mzee Membe alishinda kesi na mahakama ikamuamuru Musiba kumlipa.

Sasa naona ndiyo kumekucha na naiona hata ile hukumu ya Fatuma Karume nayo itaibuka muda siyo mrefu.
 
Makonda anapapaswa tu siku hizi
Your browser is not able to display this video.
 
Alipe tu maana huyu Mjita mwenzangu kuna kipindi ulimi na ubongo wake vilikuwa vinatoa HARUFU MBAYA SANAAAAA.
 
Kiki tu za kisiasa, wanatafuta namna ya kurudi uwanjani.

Halipwi mtu hapo
 
Musiba ni fundisho kwa vijana wenye viburi na madaraka. Kiburi kilimfanya aone anao uwezo wa kutukana kila mtu. Leo ana stress hadi kushikilia kamba ya kujinyonge.
 
Walinda legacy wenzangu tafadhali tumchangie mwenzetu, Maan maandiko yanasema... Hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe yote yataondolewa!! Kwa mantiki hiyo tutembeze bakuli bagosha!!
 
Musiba ni fundisho kwa vijana wenye viburi na madaraka. Kiburi kilimfanya aone anao uwezo wa kutukana kila mtu. Leo ana stress hadi kushikilia kamba ya kujinyonge.
Kuna wakati aliwekwa kinyumba na zee moja basha la kizungu kule Masaki.
 
Alipe tu maana huyu Mjita mwenzangu kuna kipindi ulimi na ubongo wake vilikuwa vinatoa HARUFU MBAYA SANAAAAA.
Alileweshwa na malezi ya jiwe
Acha aule wa chuya kutokana na uvivu wake wa kuchambua. Akumbuke kuula na ndugu zake.
 
Membe kanyagia hapo hapo huyo papai afilisiwe hadi kijiko cha mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…