Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Nasikia harusi yake ilisimamiwa na Kikwete kwa kila kitu, halafu baadae anakuja kumtukana, dah
 
Analindwaje? Acha kudanganyana na wenzio yapelekwe mashtaka mahakamani na ushahidi uwepo siyo maneno maneno tu. Sisi tuliamininishwa Makonda ni mbaya sana. Tunashangaa anadunda tu mtaani.
Nimeshakwambia sababu inayofanya aendelee kudunda ila unajifanya huelewi.
 
Mh siku 14 hizo hizo wengi wetu ukituambia tubuni biashara from scratch ya kutupa laki 3 ndani ya hizo siku ni umetugea mtihani wa milele ila Musiba ndiyo azalishe 9B?
Atawapiga tekniki za Hakimi hawataamini
 
Yaan kama vile sio mwenzao!!
 
Anasubiri muujiza wa genge alilokuwa anatumikia huenda likampindulia meza
 
🇹🇿 Unaweza kukuta Mali zake zote kaandikisha jina la mama yake kama huyo mchezaji anavyotrend.

🇹🇿Yawezekana akipata chochote asikiandikishe kwa jina lake.

🇹🇿Kama itatolewa order ya kupelekwa jela kama civil prison ,itakuwa mzigo zaidi kwa membe kwani inabidi amuhudumie Kila kitu na kwa standard ya hoteli ya nyota tano
 
Tozo aliyopewa Membe ni kubwa sana ningemshauri Musiba akate rufaa. Billions of money!!! By the way afanye mpango wa kujitangaza bankruptcy...hiyo fedha hailipiki!
 
hua unamuona wapi?
 
Yeye alikua anafanya kusudi kabsaa sasa acha wamnyooshe
 
Kimsingi sijui mahakama ili calculate vipi gharama za mdai mpaka kuja na kiasi hicho walichotaka Musiba alipe..
Kama alikuwa anachapa maelf ya nakala za magazeti halafu hazinunuliwi kesho yake anamlipa mwenye kiwanda na anachapa mengine? Halaf mnasema hana hela! Mahakama imeangalia yote hayo na kujirithisha bila chembe ya shaka kuwa musiba majura ana fedha chafu ni wajibu wake kulipa fidia hyo. Pia ni miongoni mwa wazawa wa kagera ambao kimsingi ni wajivuni sana! Binafsi siwez kumtofautisha mhaya maskin na tajiri! Pia jaji alijiridhisha kuwa hakuna mhaya ambaye hana ndugu marekani
 
Huyo jamaa angekua na akiri angeendelea kuwachana ili nguvu ya umma imsaidie ila sio hizo fake supreme Court,shaidi anajiuma uma Kama mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…