Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio alichokuwa anakisema, bahati mbaya....Mbona ghafla...! Sponsor kafa
Kuchafuliwa maana yake ni defamation. Yaani kuvunjiwa heshima yako kwa jamii kwa kumkashifu kwa maneno yasiyo ya kweli au ya matusi. Hivyo huyo aliyekuvunjia heshima unampeleka mahakamani kumdai akulipe fidia (damages). Ni kesi ya madai (civil case) na ni ndogo sana, siyo ya jinai.Hivi una akili kweli wewe???
Unajua maana ya kuchafuliwa?
Wewe unapaswa kuwa kundi moja na Sukuma gang
Sheria tumezitunga wenyewe kupitia wabunge wetu. Ni sisi wenyewe tuliamua kumpa rais upendeleo huo. Tutakapoona unatumika vibaya tunayo madaraka ya kuuondoa kupitia marekebisho ya hiyo sheria au hiko kifungu cha katiba.Point yangu ni kwamba Hakuna usawa wa sheria, ni nadharia tu. Ndio maana umesema mwenyewe huwezi kumlinganisha membe na Rais , kwa maana hiyo kisheria Membe na Rais sio sawa.
Ndio maana Musiba kapigwa bilioni Tisa maana kamchafua Waziri wa mambo ya nje mstaafu, mbunge mstaafu , mfanyabiashara nk.
Dah🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Enzi za ufalme wa Kayafa😁😁😁
View attachment 2591169
Mahakama Kuu ya Tanzania imempa siku 14 za kazi mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba na wenzake watatu kumlipa Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Benard Membe TZS bilioni 9.92 kama fidia ya kumchafua kupitia vyombo vya habari.
View attachment 2588944
Mahakama imetahadharisha deni hilo lilipwe ndani ya muda vinginevyo hatua zaidi zitachukuliwa.
Bonge la quote! Binadamu sisi muda mwingi jeuri, kiburi na majivuno ndivyo hutuponza. Tunajisahau kuwa Nguvu au uwezo huzidiana!Hi Dunia usipokuwa na akiba ya maneno utahangaika Sana.
not ushoga, niweke sawa.. sehemu za mwili wake kama figo etc.. japo aoneshe lengo la kulipa
Sidhani Kama Membe yupo serious na hizo pesa , Bali anataka kumfundisha adabu Musiba na kutoa fundisho kwa wengine wenye dharau na uchawa uliopitiliza.
Thamani ya hayo matusi ndiyo shillingi billioni 9 kwa Mr Membe. Zitto Kabee na January Makamba ambao nao walitukanwa hivyo hivyo, bila shaka nao wataenda kufungua kesi ya namna hiyo hiyo ili nao walipwe hiyo billioni 9 kila mmoja. Jumla zitakuwa billioni 27. Huyo Musiba atauza hadi figo zake zote na bado hatamaliza hilo deni!!Enzi za ufalme wa Kayafa😁😁😁
View attachment 2591169
Mimi na wewe tutalipwa sana sana million moja. Kwa nini iwe hivyo wakati mshahara wako au wangu unamzidi huo wa waziri? Why?Uko sahihi lakini naomba niongeze kitu hapo, hayo hayo matusi au maneno ya uongo ambayo naweza kutukanwa mimi au wewe ujue fidia yake siyo sawa na kama akitukanwa mtu kama Membe au Rostam
Mimi na wewe tutalipwa sana sana million moja. Kwa nini iwe hivyo wakati mshahara wako au wangu unamzidi huo wa waziri? Why?
Mhhh, hebu tutajie hizo sababu za kweli ambazo mahakama yenye akili timamu utai convice ulipwe fidia kwa kutukanywa TSh 9,000,000,000,000? Sawa na pesa ya kujenga Mloganzila hospìtal au Mkapa Stadium tatu?Sheria hizi siyo kwetu sisi tu, hata sehemu nyingine nyingi pia ni hivyo hivyo. So ni wewe kuiaminisha mahakama kuwa unastahili damage kubwa kwasababu kadhaa na kadhaa then mahakama itapima kama kweli unastahili hiyo fidia ama lah.
Thamani ya hayo matusi ndiyo shillingi billioni 9 kwa Mr Membe. Zitto Kabee na January Makamba ambao nao walitukanwa hivyo hivyo, bila shaka nao wataenda kufungua kesi ya namna hiyo hiyo ili nao walipwe hiyo billioni 9 kila mmoja. Jumla zitakuwa billioni 27. Huyo Musiba atauza hadi figo zake zote na bado hatamaliza hilo deni!!
Yaani hiyo hukumu haina weledi wo wote. It's utopia of the highest order. Ndiyo maana wakati mwingine mama hubidi aingilie huu muhimili. Mshahara wa waziri kwa mwaka hauzidi million 48 (after taxes). Kwa miaka 100 ni billion 4.8 na kwa miaka 200 ni billioni 9.6. Sasa kwa mjibu wa mahakama zetu na sheria zetu, ukimtukana waziri, tena waziri mstaafu inabidi umlipe mishahara yake ya miaka mia mbili!!