Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Mbali na yote, hukumu hii imekaa kukomoa na ya kisiasa zaidi kuliko ile ya kutoa haki!
Kaka Pascal upo wapi?

Nafikiri anaweza pinga hukumu hii.

Kwenye sheria ya tort Kuna kitu kinaitwa punitive damages. Ni amri ya mahakama ya kulipa fidia kubwa Kama adhabu ya kutokurudia Jambo Kama Hilo Tena mbeleni.
 
Hivi mfano zikauzwa mali zote za Musiba pamoja na za ukoo wake mzima hiyo bilioni 9 itapatikana?
Nimewaza atatoa wapi pesa ndefu kiasi hicho

Tatizo musiba ana kibuli anataka kushinda a na Membe kwa kuchangisha watu bilioni 9. Sasa Kuna gharama za kesi na fidia ya bilioni 9. Nadhani Musiba angejishusha na kuomba radhi hadharani na kusamehewa kuliko kujimwambafy kwa kuchangisha watu hizo pesa.
 
Hata waliohukumiwa gerezani wanahiyo nafasi
Basi naye anaayo nafasi hiyo ya kukata rufaa au kupinga amri ya Mahakama.


Hukumu ilishatolewa Alipe
Hajalipa kwa muda aliopewa?

Je, Kuna muda aliopewa kufanya hivyo?

Na sasa Mahakama imeamuru Afanye hivyo katika siku 14!
 
Kazia hukumu Membe huyu anapaswa aporwe mali afilisiwe kabisa... alijidai mjanja sasa kapatikana. Ndowale wenyekipaji cha upumbafu!!
 
AENDE CHATO AKAZICHUKUE KWA MZEE KWANI ALIKUWA ANAMTUMA
 
Daaah mbona nilikuwa nawasaidia wengi tu na bado wapo madarakani,amekufa mmoja tu, wengine wote wamenipotezea,daaah
 
Musiba Kulipa fidia ya Tsh 9 bilion ni Musiba mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…