Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Kwahiyo hili kwako siyo kazi ya mahakama?
Nooo! Nisikilize vizuri, Mmawia , utendaji wa mahakama zetu nchini ni almost kama uwindaji wa kunguru na fisi--ambapo sanasana wao hukimbilia mifupa & vibudu waliouawa na simba. Why not go for a fresh kill of your own?

I mean, wanahangaika na dagaa ilhali papa wapo wanajitanua.
 
Inasemekana Friends of Musiba wameandaa Harambee ya kumsaidia Cyprian Musiba kumlipa Membe fidia anayomdai

Na wameandaliwa Watu Watatu watakaoenda kumuomba mh Membe aweze kusamehe na kuachilia

Wazee hao Watatu Watamuomba mh Membe akubali kile kiasi kitakachopatika na kusamehe salio na Mungu wa mbinguni atambariki

Dominica Njema, Uchaguzi u karibu!
 
IMG_5918.jpg
 
Hili neno "Sukuma gang" limekaa kibaguzi sana. Hakuna neno jingine kwani?.
 
Inasemekana Friends of Musiba wameandaa Harambee ya kumsaidia Cyprian Musiba kumlipa Membe fidia anayomdai

Na wameandaliwa Watu Watatu watakaoenda kumuomba mh Membe aweze kusamehe na kuachilia

Wazee hao Watatu Watamuomba mh Membe akubali kile kiasi kitakachopatika na kusamehe salio na Mungu wa mbinguni atambariki

Dominica Njema, Uchaguzi u karibu!

Shida Musiba ana damu ya kunguni mbona akina Mbowe na wenzake walipata milioni Mia tatu ndani ya siku mbili?.
 
Back
Top Bottom