D Voice ndio future ya muziki wa bongo: Wasanii wa kibongo kazini kwao kuna kazi

Huyu wa kike kama zuchu,karembo sana
 
Kwa jinsi nilivyo sikiliza ile album jana naweza sema hii ni sajili ya kitapeli kama ya simba sc kwa ayubu
Nilijua ni mimi tu sijaona ngoma kali sana iliyonishtua nyimbo zote za kawaida mno. Kipindi wanatoka kina harmonize, rayvanny, lava lave walianza na ngoma kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…