PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
D

DeletedMember281674

Guest
Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia.

MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
 
Haya majibu ya dharau ya watu kuuwawa na kutekwa eti waende kuripoti matukio hayo Polisi. Yanashangaza na kutafakarisha, unaenda kuripoti tukio kwa mtendaji aliyefanya tukio hilo????
 
Screenshot_20251119-141541~2.png
 
Back
Top Bottom