Daaah mwanetu Joslin ashapoteana. Mtazame hapa alivyo sasa

ila anaazeeka na sauti yake
 
Nakumbuka enzi za primary Joslin alisoma shule ya Bunge kama sikosei

Walikuwa wanakuja sana pale Aga Khan Mzizima Primary na jamaa zake wanatupitia tunaenda nao viwanja vya Don Bosco alikuwa mshikaji fulani smart sana kichwani.

Nikimwona saivi inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…