humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Kweli kabisa mkuu. Jana utv wamerusha hii habari kwenye taarifa ya habari.Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]
Huna pesa weyeee, tafuta pesa acha kulia lia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wee, basi kama sina naomba nije nikusaidie matumizi.........tukavinjari na Abood mbugani, kama ni mkoba nitakubebea......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini uumie na maaamuzi binafsi ya mtu kukodi bus kama sio msongo wa mawazo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiduku atalipa ye anakodi Mwendokasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnasema stress, mtu ni mtanzania aishie Norway. Kaja motherland kula goodtime halafu bado tunadiss. Kweli tutafika tukiwa tumechoka sana [emoji2][emoji2][emoji2]
Na jina lake nimelipata anaitwa susan boatengUnapenda sana u mariooo wee mtu, na hiyo avatar yako mie hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo sihami wallah.Nyie ila wabongo sijui huwa wanawaza nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
View attachment 2054261
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiih.Na jina lake nimelipata anaitwa susan boateng
Mkuu samahn naomba niunganishe nae nifanye nae interviewHuyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
[emoji119][emoji119]
View attachment 2052624[emoji119][emoji119]
Naomba niunganishe nae kama una nqmbq yqke naomba piaNa jina lake nimelipata anaitwa susan boateng
Unatajaza JAMNaomba niunganishe nae kama una nqmbq yqke naomba pia
IYOOO IYOOO IYOOOWaiona hyo!!!View attachment 2054846
[emoji23][emoji23]wote tutalala keshooooIYOOO IYOOO IYOOO
Poa tu, hata wewe huna ndo maana wadau hawajaku post ukiwa unajiachia kwenye Abood kama huyo bibie.....Huna pesa weyeee, tafuta pesa acha kulia lia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yutong kiazi wewe sio marcopoloMakopolo zima mtu m1 na mwanae!
Atakuwa alikaa siti gani humo ndani!
Alipokuwa akienda huko kwake kuna uwanja wa kutosha kupaki basi, ama lilimteremshia njiani?
Napendekeza hii habari izushwe sana ili iwe ni kituko cha kufungia mwaka 202.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waiona hyo!!!View attachment 2054846
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona sasa? Tobaaaah wee.Poa tu, hata wewe huna ndo maana wadau hawajaku post ukiwa unajiachia kwenye Abood kama huyo bibie.....