Dada akodi bus zima la Abood akiwa yeye na mtoto wake pekee

Kwani kulikuwa Kuna ulazima wowote mhudumu kuwa na MATACLE makubwa.?
Mi nimeelewa hapo tu basi!!

Nishaweka na taswira ya mhudumu!!
 
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo , lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita kukodi gari hilo.
View attachment 2052624
Ulitakiwa uchukuwe clip dada akiwa ndan ya gari ili tuamini je kama kapiga tu picha kasimama hapo njee! Na tena umepiga wewe huyo hiyo na inawezekana kabisa ni shemeji, ahsante kwa kutuonesha shemeji yetu, JF mna mambo na hivi vitu vinapanda bei kila kukicha tutaona drama kibao..
 
Watu kama hawa enzi za mwendazake ili bidi wale bata kwa kujificha vinginevyo utapewa kesi ya uhujumu uchumi au utakatishaji fedha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bonge la wazo mkuu, tutafute mtaji tufanye implementation

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Sawa bwana kuuu, ungemalizia tu ma

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wengine watazungukanayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ