Nani mfadhili wa hizi safari, ni hiyo shule tu peke yake?? Hasa uwezeshajiMgonjwa wetu pamoja na kuendelea kupata nafuu anaweza kutusaidia habari muhimu sana.
Naomba wakubwa na wahusika wote wasimchukulie raia mwenzetu kama mwathirika tu wa ugonjwa. Jicho la tatu la nne hata la tano litumike. Dunia ina mambo mengi hii.
Sina uwezo wala mamlaka lakini ningefuatilia historia ya safari zake zote, uwezeshaji, sababu, kiini na msukumo hasa kipindi hili tete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio maana sijamuona siku mbili tatu. Bora lakini ajifungie tu asije akaumwa mafua nitamhurumia sana.Nasikia Paula Paul mpaka leo kajifungia stoo ili kukwepa maambukizi. Kumbe ni mafua tu? Mafua dawa yake ni kula kiporo cha wali na maharage ushushie na K Vant chupa ndogo mbili.
Ni kupagawa na corona mkuu.Asubuhi yote hii unatuambia usiku mwema!
Inaelezwa mpaka sasa Corona imesababisha vifo zaidi ya watu 5,000 na watu zaidi ya 150,000 wameugua. Hili ni balaa kubwa, tusichukulie poa hata kidogo.
Itabidi tukuweke chini ya ulinzi utupe maelezo ya kutosha.Corona Ulaya inatarajiwa kupungua au kuisha majira ya joto yakianza Ulaya. Huyu Dada kaileta Arusha,jirani na Moshi ambapo majira ya baridi yataanza miezi michache ijayo. Mbona kama ni mpango maalum vile?!!!
Wapo wengi Sana mkuu kwa mifano iliyowazi ni kocha wa Arsenal pia wachezaji wa Chelsea kwa mfano mmojawapo anaitwa Odoi.Kuna mgonjwa wa corona aliepona kabisaa??
Hapo hapoooo???Mkuu unanikumbusha ombi la "TZ iwekewe vikwazo vya..."
mmmh.Huyo alikuwa anajua, Na alikuwa anafanya Kwa maelekezo, hivyo asingefanya kinyume cha maelekezo, angekuwa mstaarabu angeeleza pale uwanja wa ndege lkn alitaka atomize maelekezo ya Kazi yke.
Huwa wanafanya Kwa maelekezo maana wanakuwa wanalipwa .
Kabisa kabisa too much scary information. Shenzi zao!
Kweli kabisa yani huyo mama ana makosa sana,mbona hakwenda nyumbani kwake moja kwa moja? Na nahisi alivyofika airport alishaanza kujisikia vibaya.Alitakiwa ajisalimishe achukuliwe na ambulance apelekwe hospitali.Nashangaa wanaomuona shujaa.Hapana usitake kumtetea, kosa la huyo mama ni kutotoa taarifa pale tu alipowasili nchini. Yeye kujitenga ni jambo sawa lakini alipokwenda jitengea sio mahali sahihi kwani hakuna control measures zozote za kiafya pale. Na ndio maana hata serikali na wataalam wa afya hawatuambii tukijihisi kuumwa au kumwona mgonjwa wa corona basi tumpeleke hotelini au kumwacha home, bali tutoe taarifa kwao ili wao kama wataalam ndio waje na kumpeleka mahali ambapo ni sahihi kwa ajili ya quarantine.
Naelewa self quarantine ipo lakini amesafiri umbali na kukutana na watu hapo katikati ambao kwa namna moja ama nyingine kawaweka ktk hatari ya kuwaambukiza. Ningemuona wa maana kama pale alipowasili tu angetoa taarifa na kuomba basi hata afanyiwe self quarantine bila ya kusafiri mpaka hotelini.
Anapaswa kulaumiwa kabisa kwa namna moja ama nyingine na kikubwa zaidi ni kwa sababu alishajua kabisa kuwa mahali alipotoka kulikuwa na mgonjwa wa corona so hata yeye alikuwa kwenye hatari ya kuambukizwa.
Corona inavyosimuliwa na wazungu ni kama simba inapozungumziwa na Manara, ila simba yenyewe ukikutana nayo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app