hahahahah...we inaonekana ndio maisha yako hayo uko tandale kila siku kujifanya ..usa baby huna loloteWatu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
hahahahah...we inaonekana ndio maisha yako hayo uko tandale kila siku kujifanya ..usa baby huna lolote
hahaha naamini inawagusa vijana wa tandale kama Diamond, ukonga kama lady jay dee, mr Blue, shilole, Kina Chege mkubwa fela wa Temeke, Masanja mkandamizaji wa ludewa huko nakumbuka nilipita kijijini kwao huko 2010 sikumbuki hata kuona nyaya za umeme huko, kina joti na mpoki sijui wa buguruni .....pia kina Tunda man madee wa manzese...hata Mbwana samata mbagala huko, dada zetu wa magomeni, kinondoni etc wanaokwenda china, uturuki, brazil SA na kuja kuanzisha butiki zao.......and so many.Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
hahaha naamini inawagusa vijana wa tandale kama Diamond, ukonga kama lady jay dee, mr Blue, shilole, Kina Chege mkubwa fela wa Temeke, Masanja mkandamizaji wa ludewa huko nakumbuka nilipita kijijini kwao huko 2010 sikumbuki hata kuona nyaya za umeme huko, kina joti na mpoki sijui wa buguruni .....pia kina Tunda man madee wa manzese...hata Mbwana samata mbagala huko, dada zetu wa magomeni, kinondoni etc wanaokwenda china, uturuki, brazil SA na kuja kuanzisha butiki zao.......and so many.
Nadhani access to information, hollywood movies, music, fashion, magazines, vibanda vyakuonyesha video uswahilini...inspired them to be who they are today na kuheshimika kwenye jamii kwamba; waweza kuona kusikia kuiga kuweka malengo nia kazi kwa bididi nakufikia malengo yako. wengi wao nadhani walijiuliza kwamba kama wale wanaweza sie tutashindwa nn.
They have good stories to tell..... na ni jambo jema kwa watoto wetu na future ya Tanzania.

Not really, simchukii Bey. And yes, she's on top cuz she's married to a rap god. Attitude ya Bey wakati Shaolinge anamshambulia Jay, haionyeshi kumpenda mshkaji kabisa.
Bey anabaki cuz anaogopa kuondoka. She's so insecure.
Ukweli ula unauma,if I were Bey I would cheat too to neutralize the pain,but make sure he doesn't find out,B akiachana na huyu yani hata sijui nani wa kumuoa,Hii habari imeandikwa kinafki sana. Jay-Z hakupokea "kichapo", bali alifanyiwa fujo na akai-handle situation like a true man.
Jay can wife any chick, and make her a queen. Bey can't even find a Jay's match, let alone an upgrade. She knows, hence she sticks around.
Kuna tyms mwanaume anaweza akakuumiza hadi the only option ikawa kutulia tu usifanye chochoteIle clip niliiona na nikashangaa kwanini Bey alibaki anaangalia tu...
Yule Solange nae anaonekana 'mswahili' sana
hahahaha
Hahahha angekuwa Africa angeenda kuroga kabisaa amtulize Jay lolBeyoncé ana genes za waswahili...angekuwa mzungu asinge tolerate kuchitiwa...yani sasa hivi angekuwa kwenye ndoa ya saba...na hivi bado ni mzuri...
Life is too short kuishi maisha fake...
Mfano yule anaye act Batman si keshaachwa na mkewe sababu tu ilikuwa kwenye media anatoka na nanny wa watoto wao...mama kaona upuuzi gani...kampiga jamaa chini...and they were the best couples kwa Hollywood...
Ukweli ula unauma,if I were Bey I would cheat too to neutralize the pain,but make sure he doesn't find out,B akiachana na huyu yani hata sijui nani wa kumuoa,
Ana tatizo pia la kuexpect perfection,kisa Jay kambikiri basi ana hopes za happily ever after, nani kasema,ndo dunia hio,wapo walochezewa na wanaume 20 afu wakapata waume wasiocheat...hehehTatizo la Queen B anapenda kuigiza maisha,
It's time to free herself.
Why she so bitter though,...kushindana na mwanaume anaecheat kwa kweli ni shida sana,ukicheat unamuona ur guy average tu na unakosa zile pozi za kumshutumu why he's cheating coz u know u hitting it too,..But who's to say Beyonce has never strayed?
Au watu mnasadiki tu kuwa hajawahi kuchepuka kwa vile yeye ndo mwanamke?
Hamjawahi kuzisikia tetesi za Beyonce kumegwa na bodyguard wake airways Julius?
Jaribu ku Google hiyo kitu uone......
Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha celebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
Watu huwa wanajishaua na kujifanya kuiponda USA lakini kumbe wanaipenda na kufuatilia mambo yake na watu wake.
Unakuta kamtu kamepanga huko Uswahilini kichumba labda na sebule, maji hayatoki bombani....kinajaza maji kwenye ndoo na kutumia likikombe likuuubwa kuogea.
Halafu kikija humu kinajifanya kigwiji cha cel
ebrity gossip hadi kwapa kinasahau kushevu achilia mbali kukumbuka kupaka hata ki deodorant cha buku 2.
USA baby.......
Why she so bitter though,...kushindana na mwanaume anaecheat kwa kweli ni shida sana,ukicheat unamuona ur guy average tu na unakosa zile pozi za kumshutumu why he's cheating coz u know u hitting it too,..
umenikumbusha vikwapa unakuta mtu kavaa vyema kabisaa lakini mkipishana kwapa hilooo.aisee wabongo na kunuka vikwapa tunatishaaa ,mwingine ana uwezo wa kununua deodorant lakin sijui anafurahia ile harufu
inabidi liwe somo hilii