Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kama ww ulivyotaka kumla mtoto wa madam kule Lindi.Akili huna unawaza uzinzi tu, hata avatar yako inaonyesha
Yatakukuta yaliyokukuta Lindi 😅Mm ngoja waje wajilengeshe nitakachokuja kufanya mpaka Reuters watalipoti
Sasa mkuu sisi tunasubiri uendelee na stori yako kumbe we umeenda kwa dada upanga
Yupo sahihi inafaa tupate picha halisi kabisa. Unaposema anamshika sehemu za siri unazibainisha **** ni maziwa na uke.Kwa uzi huu,kwa kusoma heading tu,huoni km na wewe unamdhalilisha dada yako??. Kulikuwa na sababu gani hadi kusema kabisa kuwa anashikwa sehemu za siri??.Ungesema tu kuwa anadhalilishwa ingetosha Mkuu,Watu wazima tunakuwa tayari tumeshaelewa.
Sure kaka chukua Pepsi baridi kwa mangiKama jamii flan inatabia za kifedhuli ziwekwe bayana.
Hii jamii ya bara la asia wako na itikadi za kifedhuli kiasi ambacho kimevuka mipaka ya kiutu. Dada yetu kule uarabuni alionekana analishwa mavii. Dada yetu mwingne kulekule uarabuni alikufa ka kile kilichosemekana alisukumwa(mwaka juzi au mwaka jana)
Hawa jamaa wa hapo kwenye viungo vingi nao wanaubaguzi ulopita mipaka wale wenzao weusi wanawaona n kama maviii tu. Hapo kwa Bashiru wanawaona watoto wa mzee wa kofia kama si watu. Wakikuwa wanawaua kama watakavyo. Wanataka kuwanyang'anya yale mafuta yote ni kutokana na ilo roho iko ndani yao.
Tuishi kama binadamu tuache chuki na tupendane sote. Wazee wa viungo acheni kuona ngoz nyeusi kama mbwa. One day magorofa yatakuwa magumu kupanda
Niliwaambia waache hiyo tabia wawe na adabuWewe kama wewe unechukua hatua gani au uneishia kuangalia dada Ana dhalilishwa na wewe unaona .... kuhusu udhalilishaji hkuna asiye jua hilo ... ungekuja na suluhisho huu uziwako ungekuwa na uzito zaidi
Mm ni kaka ake wa damu kule kwa wahindi sio sero hata nisiache kufika.Pengine tatizo linaanzia kwa dada yako ambaye Ni mpishi Kuna haja gani ya kupika chakula kingi Cha kubakiza lundo na kuweka kwny frigi?huenda aliambiwa kipimo Cha kupika yy anashindwa kukifuata ndio maana kikibaki anaambiwa aweke kwenye frigi kesho yake amalizie mwenyewe,la pili kushikwa sehemu za Siri pengine yy ndio kawafundisha na kuwaendekeza hao watoto usingekuwepo kna maana wangeshikana.Lkn pia ww Ni mtoto wa kiume wataamini vipi km ww mna undugu na huyo dada yako asilimia kubwa maboss wengi hawapendi wadada wa kazi kukaribisha vijana wa kiume majumbani wahusika wakiwa hawapo ukiendekeza kwenda Kuna siku watakudhuru jihadhari
Yeah sureAccording to me... we had achieve independence the situation of being independently but steal we have no freedom in our country... steal we have a dream that freedom will coming tomorrow
Marijuana hayakufai nduguSina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..
Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo