Dada, kama unataka kuolewa zama hizi kaa kijanja

sijaandka nikiwa nmelewa npo timamu kwaio najua,,ila sio mbaya kuandka unachofkiria kwa mda uo haswaaaa hum jf
Kabisa upo sahihi!

Lakini wakati mwengine inaweza kuwa aandikacho mtu ndicho anachokiamini or kadiri anavyokiandika ndivyo atatamani kuki-practice kwenye maisha yake.
 
Kataa ndoa
kataa kuto-mba
kataa ushauri
kataa wanawake
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kaka sina mme.....kataa ndoa.
Vijana wakimbie huu mtego
Mbona sisi kaka zao na dada zao tunaishi kwenye ndoa miaka na miaka bila tatizo?ukichukulia wao baadhi wenye bahati mpaka leo mama zao na baba zao wanaamkia chumba kimoja!!!

Hivi mwanamke ana hoja gani anaposema kataa ndoa,kipi kinamsibu humo kwenye ndoa,fafanua kidogo mkuu hali ya kuwa wewe mwenyewe kwa vidole vyako umesema hujawahi kuwa na mume
 
punguza vigezo utampata,,ila huwezi pata perfect bwana,, mengne utamfunza weye.

Kumfunza pia lazima awe na msingi wa kufundishika. Ndio maana hata engineering degree zinataka kwanza uwe umefaulu physics na mathematics.

Mtu anapaswa aoneshe dalili ya kufundishika. Hata wewe naweza kupa challenge uone uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…