Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Hahah nakumbuka miaka ya 2016/17 kukusoma humu ukizungumza mambo ya familia yako,but yumkini unawadanganya wadogo zako hapa baada ya kuona kwako limebuma?Mimiiii?!!!! Mke wa mtu??? Umechanganya id kaka....
Usifanye hivyo aisee acha hiyo hali iishie kwako hali mbaya sana mtaani.