fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Ila kati ya waliokuwa wanapiga kelele yupo mzee Magembe
Wapi nimemkosea heshima??Huyo ni mwanasheria alafu mwandishi nguli ambaye keshapitia misukosuko mingi kutokana na maandiko yake kwahiyo mpe heshima yake usije dhani huyo ni sawa na Zero IQ.
Ohhh....Wala siyo anaomba uteuzi he is just a whistle blower,kuna fukuto.
Kuna mda nikikaa nikatafakari kuhusu mstakabari wa Taifa letu inanifanya niwaze uenda kuna kizazi kitakuja kuleta ukombozi wa kweli wa hili Taifa.Just thinking aloud:
Ingetokea kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, likatokea Tangazo kwamba Kamati Kuu imeamua kuleta jina moja tu la Makamu Mwenyekiti ili kuthibitishwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu.
Hali ingekuwaje?
(Just thinking aloud).
Wachambuzi wa Siasa na Demokrasia wangekaa kimya, kama walivyokaa kimya baada ya Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma?
UHALISIA HAPA UKO WAZI.
Sisi Watanzania bado tuko nyuma sana ya Utaratibu wa Kidemokrasia hapa duniani.
Kufuru kubwa.. eti adui yako kama unammudu usimwachie Mungu (sikiliza vizuri)..wanashangilia kama mazuzu.
Mpina naye akapinge uamuzi kwenye vukao au hata mahakamani. Kutosimama kushangikia si kigezo cha kusema kapinga, mtu anaweza kusema alikuwa kachoka tu.Wajumbe ñi wanafiki sana! Hela zimeisha ndo mnakuja kulia mtandaoni! Kwenye kikao si mlikuepo?? Mtu ambaye sio mnafiki ni mpina tu! Yeye hakuunga mkono kwa kutosimama kushangilia lakini wengine wote ni wachumia tumbo tu! Pesa ikiisha ndo akili zinawarudi
Hawa wanasiasa wanajua hoja ya kwamba Mungu hayupo, kwa sababu angekuwepo wasingehitajika kumsaidia kuendesha nchi.Kufuru kubwa.. eti adui yako kama unammudu usimwachie Mungu (sikiliza vizuri)..wanashangilia kama mazuzu.
Hata huyo Mpina ni muoga tu, alitakiwa apinge humo humo kikaoni na sio kugoma kushangilia.Wajumbe ñi wanafiki sana! Hela zimeisha ndo mnakuja kulia mtandaoni! Kwenye kikao si mlikuepo?? Mtu ambaye sio mnafiki ni mpina tu! Yeye hakuunga mkono kwa kutosimama kushangilia lakini wengine wote ni wachumia tumbo tu! Pesa ikiisha ndo akili zinawarudi
Huwezi kurudi hapa, ndio umeenda kuanzisha uzi wako wa kichawa ule?Nitarudi
Na mie anitoe tafadhali naungana na weweMimi nitoe!
Compilation ya kisheria inakuwepo kwasababu ya kutofuata sheria.
Kikao hakikuwa kina uzito, na kikaendelea bila uzito.