Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Sasa hivi hawezi kukuelewa kwa lolote labda 2026 baada ya uchaguzi tena akiwa na hakika ndani ya ikulu, amefanikiwa kuchelewesha marekebisho ya sheria ili aweze kufanya kilichofanywa kwenye chaguzi za 2019, 2020? 2024 na zinginezo.

Upinzani ana hakika kwa sheria hizi hawafurukuti na kumbuka kauli yake moja wakati wa kampeni za uchaguzi 2020 alisema mkipigia kura upinzani CCM wanaunda serikali.

Hofu ilikuwa ni kwa wenzake CCM hapo alikuwa anawahi kuwadhibiti kwa kukiuka katiba kama kawaida ya CCM ili kutimiza jambo lake.

Tunasubiri uchaguzi uishe kwa ushindi wa kishindo halafu uje uandike makala ndefu ya kupongeza, najua mmeishachagua side albeit ya dhulma peaneni ushauri sisi tunasubiri tuone kama kweli kuna karma au uchawi wa kisukuma, yetu macho
 
Ushauri wako ni mzuri lakini ingekuwa poa ungeandika kabisa barua kwa Katibu Mkuu wa CCM kumpatia hizo hoja kwamba wamevunja Katiba ya chama kwa kilichofanyika Dodoma.
 
Just thinking aloud:
Ingetokea kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, likatokea Tangazo kwamba Kamati Kuu imeamua kuleta jina moja tu la Makamu Mwenyekiti ili kuthibitishwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu.
Hali ingekuwaje?
(Just thinking aloud).
Wachambuzi wa Siasa na Demokrasia wangekaa kimya, kama walivyokaa kimya baada ya Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma?
UHALISIA HAPA UKO WAZI.
Sisi Watanzania bado tuko nyuma sana ya Utaratibu wa Kidemokrasia hapa duniani.
TZ hakunaga wachambuzi wa siasa, wengi ni wachumia tumbo, kulikuwa na panel ya wachambuzi wakati wa uchaguzi wa Marekani, wakawa kimya wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Ulipofika uchaguzi wa Chadema interview nyingi plus uchambuzi, haya ya CCM kimya kikuu.
 
Naona kumbe wengi hamkuridhishwa na pande alilojipigia mama yenu.

Mmebaki kujisifia kuwa nyie ndio mfano wa kuigwa, mmetamani walichofanya live Chadema kwenye camera maana mngefanya kwa huyo mama wala asingepenya .
 
Naona kumbe wengi hamkuridhishwa na pande alilojipigia mama yenu.

Mmebaki kujisifia kuwa nyie ndio mfano wa kuigwa, mmetamani walichofanya live Chadema kwenye camera maana mngefanya kwa huyo mama wala asingepenya .
mmetamani walichofanya live Chadema kwenye camera maana mngefanya kwa huyo mama wala asingepenya .🚶🏾💪🏿
 
Ushauri mzuri Kaka. Ukweli ni kuwa hili jambo madhara yake ni makubwa kwenye ngazi za chini na huko mbeleni kwenye nafasi hiyo.

Ninaamini Dada Mkubwa angepitishwa na Chama bila huu utaratibu ila sijui yeye anajua nini so naishia kushangaa.

Namuombea Mungu ampe washauri wenye hekima na ujasiri wa kusahihisha hili.
 
Kama alidiriki kuita katiba ya nchi iliyomuweka pale kwamba ni vijikarasi atashindwa vipi kusigina katiba ya chama ambacho ndio kinacho tengeneza na kuzalisha uozo wote uliojaa kwenye mfumo

kilichotokea anajua kabisa hana ushawishi hata kwa wanachama wake achilia mbali wenye nchi ambao wengi hawapendi hata kuiona sura yake wakisikia sauti yake wanaishia kusonya na kutukana, Dada yako amedoda na ndio maana kila kona ya nchi kuna mabango ya kumpamba na kumsifia
Utakosana na mwenye dada amekiri anaungana na watanzania wengi eti wanaompenda dada yake
 
Ushauri mzuri Kaka. Ukweli ni kuwa hili jambo madhara yake ni makubwa kwenye ngazi za chini na huko mbeleni kwenye nafasi hiyo.
Akina mama ndivyo walivyo; haijalishi ana cheo au elimu gani. Kuondoka ndani ya ukumbi wa mkutano ni utaratibu uliotumika hata kwa akina Nyerere. Yeye ni nani hadi akaidi kutoka ukumbini? Ni ushamba wa kisiasa au ni kibri tu cha madaraka?
 
Back
Top Bottom