Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Bahati mbaya Mbowe hakustaafu kwa hiari, kastaafishwa kwa lazima.Safari hii wakikuacha tena staafu kama mbowe😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya Mbowe hakustaafu kwa hiari, kastaafishwa kwa lazima.Safari hii wakikuacha tena staafu kama mbowe😂😂😂
TZ hakunaga wachambuzi wa siasa, wengi ni wachumia tumbo, kulikuwa na panel ya wachambuzi wakati wa uchaguzi wa Marekani, wakawa kimya wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Just thinking aloud:
Ingetokea kwenye Mkutano Mkuu wa CHADEMA, likatokea Tangazo kwamba Kamati Kuu imeamua kuleta jina moja tu la Makamu Mwenyekiti ili kuthibitishwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu.
Hali ingekuwaje?
(Just thinking aloud).
Wachambuzi wa Siasa na Demokrasia wangekaa kimya, kama walivyokaa kimya baada ya Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma?
UHALISIA HAPA UKO WAZI.
Sisi Watanzania bado tuko nyuma sana ya Utaratibu wa Kidemokrasia hapa duniani.
Kaamua ajitambulishe ili amkumbukeHaha! hapa kama mtu anaomba uteuzi hivi..😁
Mmmh! Huyu jamaa ana akili sana, inahitaji akili kumuelewa.
Kawaambia kiaina kwamba kilichofanyika sio sahihiMmmh! Huyu jamaa ana akili sana, inahitaji akili kumuelewa.
mmetamani walichofanya live Chadema kwenye camera maana mngefanya kwa huyo mama wala asingepenya .🚶🏾💪🏿Naona kumbe wengi hamkuridhishwa na pande alilojipigia mama yenu.
Mmebaki kujisifia kuwa nyie ndio mfano wa kuigwa, mmetamani walichofanya live Chadema kwenye camera maana mngefanya kwa huyo mama wala asingepenya .
Exactly mkuu, yaani kafikisha ujumbe indirectly.Kawaambia kiaina kwamba kilichofanyika sio sahihi
Asitujumuishe kwenye mambo yao. 😁Na mie anitoe tafadhali naungana na wewe
Mshauri wake mkuu ni mkwe wake Mchengerwa!! Mwanae kamwambia juu ya mumewe ndio maana Samia anamsifia mkwewe kuwa ana kifua kipana!Huyu Dada ni Dikteta akiongozwa na yule aliyesema wachawi wameshakufa.Serikali ya Samaki.
Utakosana na mwenye dada amekiri anaungana na watanzania wengi eti wanaompenda dada yakeKama alidiriki kuita katiba ya nchi iliyomuweka pale kwamba ni vijikarasi atashindwa vipi kusigina katiba ya chama ambacho ndio kinacho tengeneza na kuzalisha uozo wote uliojaa kwenye mfumo
kilichotokea anajua kabisa hana ushawishi hata kwa wanachama wake achilia mbali wenye nchi ambao wengi hawapendi hata kuiona sura yake wakisikia sauti yake wanaishia kusonya na kutukana, Dada yako amedoda na ndio maana kila kona ya nchi kuna mabango ya kumpamba na kumsifia
Hata hapa tayari umeishacomment mkuu. Karibu sana.Pascal Mayalla
Hoja zako ni za msingi sana, hasa kwa mtu anayeona mbali/mbele kwa jicho la ndani.
Mimi nasoma tu komenti sina la kuchangia maana, inahitajika uwe mjuzi kwelikweli kuweka komenti.
Akina mama ndivyo walivyo; haijalishi ana cheo au elimu gani. Kuondoka ndani ya ukumbi wa mkutano ni utaratibu uliotumika hata kwa akina Nyerere. Yeye ni nani hadi akaidi kutoka ukumbini? Ni ushamba wa kisiasa au ni kibri tu cha madaraka?Ushauri mzuri Kaka. Ukweli ni kuwa hili jambo madhara yake ni makubwa kwenye ngazi za chini na huko mbeleni kwenye nafasi hiyo.