Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Umpige block Chris brown?😅😅😅We ningeshampiga block siku nyingi!Tena ndo kama hata kujieleza ndo anazunguka kizungumkuti sina muda wa kupoteza kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umpige block Chris brown?😅😅😅We ningeshampiga block siku nyingi!Tena ndo kama hata kujieleza ndo anazunguka kizungumkuti sina muda wa kupoteza kabisa!
At first sight,Jamaa alichofeli kashindwa kuomba namba kijanja wakati anapataga Airtime ya kuongea na manzi! Ni domo zege msela
😂[emoji23][emoji23]Kuna mdau kasema jamaa anasumbuliwa na upungufu wa Nguvu za kuomba namba.
Ha ha ha namjua kwani lol hebu nipisheUmpige block Chris brown?😅😅😅
Mwanaume hajawahi kuishiwa ujinga, hizo zinaitwa mbinu shirikishi.Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali? Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba
Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
Kuna jamaa etu mmoja humu Nmemsahau jina. Ni kungwi wa wanaume kule Kwenye MENS TALK.[emoji23]
Then why cant u tell her where u got it!?..whats stopping you?.
Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.
Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.
Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.
Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .
UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.
Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.
Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.
Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila ma
Halafu ukishatajiwa flani katoa namba ukamletee makelele ama ni kitu gani kitafuata?
What chaos wkt unaamini ur 'entitled' to having her number? hehe vijana bwnI don’t want to be reason for chaos bro..! I will tell her but not now..! And the girl who gave me her number insisted not to tell it’s her friend who gave me the number.!
Pale ulipo kakaa...u said it all🙏Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.
Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.
Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.
Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .
UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.
Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.
Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.
Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.
Jua limezama afu bado analeta pozi.
Ila na wewe umeshindwa vip kumuomba namba direct ukaamua kuzunguka mbuyu
Tunaomba ujengewe sanamu pembeni ya Askari Monument🎊Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.
Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.
Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.
Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .
UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.
Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.
Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.
Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.
Unaliona jepesi hilo!? Yani ubaya ukishatajiwa utakimbilia kumchamba alietoa namba kama vile sijui amefanya dhambi gani!
We mwambie where u got the number na mazingira cz hapatikanikiSuala ni kwamba ilikuwa nimuombe ila tatizo wakati ninapotaka kumuomba inakuwa labda yupo na rafiki zake anakuambia nakuja ngoja nimalizane na wenzangu hivyo..! Sasa niliporudi pale yule rafiki yake akaniambia hayupo ila kama nina shida naye atanisaidia namba..! Na akasema nisimtaje tu kama amenipa namba. [emoji28][emoji28]
Yeye ndio mzizi wa matatizo lazima ajulishwe kuwa alivyofanya sio sawa ili siku nyingine asirudie.Sio kila mtu anapenda kugawa namba yake private ovyo yeye alikuwa ni kama nani achukue maamuzi atoe namba kiholela tu.Rafiki mwema hawezi kufanya hivyo!Yaani kamuuza mwenzie hivihivi lol [emoji28] halafu hataki muhusika ajue kwasababu anajua anakosa la jinai!
😅😅😅😅😅 nakuja piemHa ha ha namjua kwani lol hebu nipishe
Mkuu,
Usiufanye mjadala kua mrefu.
Sio kwamba kila anaekukosoa humu anakuchukia au anakuonea wivu.
Unatakiwa ukubali kabisa kua Ulifeli sana hapo Kama mwanaume,
Kuomba namba kwingine wakati mwanamke husika una mawasiliano nae vizuri Ni ishara tosha kuonesha kutokujiamini kwako.
Pia,
Kukimbilia Kwenye conclusion za kitoto kua kila mwanamke over 28 Ni zoa zoa unakua unafeli Kama mwanaume.
Mwanamke anaweza seriously anahitaji mume au mwanaume wa kua nae maishani, ila still asivutiwe na wewe.
Na ukimfata akakuchomolea USO MKAVU kabisa.
Mwanamke anaweza kua seriously anauza uchi (KAHABA),
Ila still ukaenda na pesa yako akakukataa na akamuuzia mwingine.
Kwaiyo,
Unapaswa kuheshimu choices za kila mwanamke.
Na sio kila mwanamke unaemuona unamchukulia very cheap.
Kwanza mkuu Ulipata wapi habari kua uyo mwanamke yuko single?
Kama uliambiwa na mwanamke mwenzie jitafakari, utakua umedanganywa?
wanawake kwa wanawake sikU zote hawaambianagi Siri zao za mahusiano hasa hasa kwa wale wanaowapenda sana.