Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Jamaa alichofeli kashindwa kuomba namba kijanja wakati anapataga Airtime ya kuongea na manzi! Ni domo zege msela
At first sight,
Nilivosoma TU uzi kua kaenda kuomba namba kwa shoga ake.

Nikaishia tu hapo hapo,

Nikajua kabisa tayar Mtoa mada keshatutoka, sio MWENZETU tena[emoji4]
 
Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.

Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.

Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.

Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .

UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.

Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.

Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.

Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.
 
Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali? Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba

Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
Mwanaume hajawahi kuishiwa ujinga, hizo zinaitwa mbinu shirikishi.
 
Then why cant u tell her where u got it!?..whats stopping you?.

I don’t want to be reason for chaos bro..! I will tell her but not now..! And the girl who gave me her number insisted not to tell it’s her friend who gave me the number.!
 
Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.

Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.

Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.

Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .

UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.

Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.

Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.

Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila ma
 
Halafu ukishatajiwa flani katoa namba ukamletee makelele ama ni kitu gani kitafuata?

At last someone has my back…! Girls were attacking from every angle …! Meennn [emoji28][emoji28][emoji28]Yaani kudadek
 
Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.

Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.

Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.

Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .

UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.

Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.

Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.

Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.
Pale ulipo kakaa...u said it all🙏
 
Jua limezama afu bado analeta pozi.
Ila na wewe umeshindwa vip kumuomba namba direct ukaamua kuzunguka mbuyu

Suala ni kwamba ilikuwa nimuombe ila tatizo wakati ninapotaka kumuomba inakuwa labda yupo na rafiki zake anakuambia nakuja ngoja nimalizane na wenzangu hivyo..! Sasa niliporudi pale yule rafiki yake akaniambia hayupo ila kama nina shida naye atanisaidia namba..! Na akasema nisimtaje tu kama amenipa namba. [emoji28][emoji28]
 
Mwanaume kulaumu Laumu ovyo wanawake Ni ishara ya kutokujiamini.

Wanaume na sisi tuache sana lawama, Tutafute pesa.
Mambo mengine tuiachie natural selection ifanye kazi yake.

Tusijiwekee Sana guarantee ya kukubaliwa kila tunapomhitaji mwanamke.

Wanawake nao ni binadamu wanahaki na utashi wa kuchagua wale wanaowapenda .

UKIKATALIWA USIWEKE sana NONGWA, Utakuja kufa Depression.

Na dunia yenyewe hi tunapita,
Afu maisha yenyewe Aya mafupi unashindwa ata kuyafurahia.

Kiukweli,
Usitake kunambia Ndani ya wanawake billion 5 duniani, huwezi kosa mwanamke 1 atakae kuelewa na wewe ukamuelewa.

Haya,
Mambo ya kuforce force mahusiano na watu wasiowapenda, MWISHO wa siku mnatujazia server na nyuz zenu za kulia Lia mnatendwa kila mara.
Tunaomba ujengewe sanamu pembeni ya Askari Monument🎊

mtu umri wake kusogea isiwe kigezo cha kuwa treated vyovyote...

sio hata suala la haki ni uungwana tu wa kibinadamu..bila kujali jinsia
 
Unaliona jepesi hilo!? Yani ubaya ukishatajiwa utakimbilia kumchamba alietoa namba kama vile sijui amefanya dhambi gani!

IMG_0800.jpg

Mkuu nimevuta kiti hapa nikae tueleweshane na hawa wenzetu.!
 
Suala ni kwamba ilikuwa nimuombe ila tatizo wakati ninapotaka kumuomba inakuwa labda yupo na rafiki zake anakuambia nakuja ngoja nimalizane na wenzangu hivyo..! Sasa niliporudi pale yule rafiki yake akaniambia hayupo ila kama nina shida naye atanisaidia namba..! Na akasema nisimtaje tu kama amenipa namba. [emoji28][emoji28]
We mwambie where u got the number na mazingira cz hapatikaniki

km ni wako atakua wako tu
And viceversa is true
 
Yeye ndio mzizi wa matatizo lazima ajulishwe kuwa alivyofanya sio sawa ili siku nyingine asirudie.Sio kila mtu anapenda kugawa namba yake private ovyo yeye alikuwa ni kama nani achukue maamuzi atoe namba kiholela tu.Rafiki mwema hawezi kufanya hivyo!Yaani kamuuza mwenzie hivihivi lol [emoji28] halafu hataki muhusika ajue kwasababu anajua anakosa la jinai!

Alfu wewe unataka mimi niwe chanzo cha Chaos seriously?? Hunitakii mema rafiki [emoji28]
 
Mkuu,
Usiufanye mjadala kua mrefu.

Sio kwamba kila anaekukosoa humu anakuchukia au anakuonea wivu.

Unatakiwa ukubali kabisa kua Ulifeli sana hapo Kama mwanaume,

Kuomba namba kwingine wakati mwanamke husika una mawasiliano nae vizuri Ni ishara tosha kuonesha kutokujiamini kwako.

Pia,
Kukimbilia Kwenye conclusion za kitoto kua kila mwanamke over 28 Ni zoa zoa unakua unafeli Kama mwanaume.

Mwanamke anaweza seriously anahitaji mume au mwanaume wa kua nae maishani, ila still asivutiwe na wewe.
Na ukimfata akakuchomolea USO MKAVU kabisa.

Mwanamke anaweza kua seriously anauza uchi (KAHABA),
Ila still ukaenda na pesa yako akakukataa na akamuuzia mwingine.

Kwaiyo,
Unapaswa kuheshimu choices za kila mwanamke.
Na sio kila mwanamke unaemuona unamchukulia very cheap.

Kwanza mkuu Ulipata wapi habari kua uyo mwanamke yuko single?
Kama uliambiwa na mwanamke mwenzie jitafakari, utakua umedanganywa?

wanawake kwa wanawake sikU zote hawaambianagi Siri zao za mahusiano hasa hasa kwa wale wanaowapenda sana.

Ahsante kwa kunifumbua, Okay nakubali nilifeli kuchelewa kuchukua namba kutoka kwa mhusika. Ila suala la kumtajia aliyenipa namba siwezi fanya Bro, I can’t break the promise na pia naogopa kusababisha Chaos
 
Back
Top Bottom