Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

Funga heater bafuni,acha mambo ya kumwambia beki 3 nitayarishie maji.
Habari za weekend!
Kama ilivyoa ada. Mimi ni mtu mzima kiasi nina mke na watoto wawili . Nyumbani mke wangu anajituma si kwamba no mvivu la hasha. Anafanya
Upo sahihi. Heater maeneo ya bafuni ni muhimu sana katika nyumba tunazoishi. Mpaka lini mkeo natakiwa kuamka saa 10 alfajiri kubandika maji ya kuoga kwenye jiko la gesi?? Uzee ndio huu unatunyemelea Baba Chanja.😂😅😂
 
Huyo kweli hafai, mkuu!
 

[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Mto mada hana hamu
 
Ila mi niliwahi kuchagua Mtani ..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nitake nn tena?.
 
Jiandae kwa majuto huyo Dada wa kazi anakusogeza karb ili uingie mkenge. Na ukiingia familia lazm aisambaratishe maana wadad wa kazi wanakuja na mambo yao kama machangudoa ukitak kulinda familia yako mambo ya vitu vyakuandaliwa unapaswa ukae namkeo kwan mfanyakaz hatakiw kufany hayo yote
 
Huyo anaelekea kufahamu mengine zaidi ya mkeo.

Kuwa makini pia ila mkeo muamshe toka usingizini.
Kwel usemayo na huenda mkewe ndio huwa anamlalamikia matatz yake Dada wakaz.
Ajiandae tu akisha jua udhaifu mkubwa wa yeye bac atakuwa anamilik wake 2
 
Kunakila dalili house girl kusomwa kitabu. Ikiwa ww ni mwanaume never ever kula hg. Ameajiriwa kwa kazi hiyo mpe ujira wake kwa kuyafahamu majukumu sio kufanya comparison na mkeo.
Kwel kaka anatakiwa amchukulie kama mfanyakaz wa nyumban na anaelipwa hivyo anapaswa afuate sheria za kazi na asimuogope pindi anapokosea amkanye na amkosoe hiyo ndio jukumu la bosi kwa mfanyakaz wake na asisite kuweka tahadhari kwa mfanyakaz wake hapo Nyumba itakuwa na heshima
 
Sina nia ya kugonga nitavuruga nyumba lakini naona ana care zaidi ya mama watoto.
Unamiaka mingapi kweny ndoa yako? Hakuwahi kukufanyia mengi mazur mkeo mbali na hivyo unavyoviona Leo? Hakuwahi kukuheshimu, kukujali na kukufanyia huduma ndogondog kama kupik, kufua n.k?
Au sabb umeshamzoea umemuona kama kazeeka ndio unaona beki Tatu anajuhud?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…