Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

Yupo dada wa kazi hapa home,

Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa

Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)

Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata akitokea mgeni tunakosa chakumpa ili ale. Sababu yake anayotoa ni kua mgeni atoe taarifa mchana kabla hajaja ili share yake iwekwe

Anatujali tu sisi hapa wa nyumbani lakini si mkarimu kwa wageni

Ninachompendea anajua kupika sana, chakula chake kizuri

Nifanyeje abadilike?
We ndio baba/mama mwenye mji/nyumba au ni mtoto wa familia?!

Kama wewe ndie mwenye nyumba, nini sasa kinakulalamisha na neno lako wewe ni amri.
 
Safibanawafanyisha diet sio kula miwanga kibao usiku ndo kukaribisha miribatumbo
 
Hilo jukumu muachie mkeo, na kama wewe ndo ke basi unafahamu jambo lakufanya kwenye familia yako
 
Huyo si dada wa kazi ni dada wa nyumba(huenda akawa ni mama yako mdogo kwa dingi) anapanga mpaka kiasi cha msosi.

Ukiona swala anaringa saana mwituni ujue simba ndio bwana wake
 
Yupo dada wa kazi hapa home,

Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa

Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)

Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata akitokea mgeni tunakosa chakumpa ili ale. Sababu yake anayotoa ni kua mgeni atoe taarifa mchana kabla hajaja ili share yake iwekwe

Anatujali tu sisi hapa wa nyumbani lakini si mkarimu kwa wageni

Ninachompendea anajua kupika sana, chakula chake kizuri

Nifanyeje abadilike?
Dada wa kazi muelekeze mkiwa wawili chumbani, aache uchoyo, naamini atakusikia mkuu
 
Yupo dada wa kazi hapa home,

Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa

Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)

Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata akitokea mgeni tunakosa chakumpa ili ale. Sababu yake anayotoa ni kua mgeni atoe taarifa mchana kabla hajaja ili share yake iwekwe

Anatujali tu sisi hapa wa nyumbani lakini si mkarimu kwa wageni

Ninachompendea anajua kupika sana, chakula chake kizuri

Nifanyeje abadilike?
Ukimpa taarifa kuna mgeni ana shida?
 
Kwani wewe ni mtu wakutegemea wageni kila wakati, mimi sioni tatizo hapo na uzuri amekuambia utoe taarifa ili na cha mgeni kiwepo, utapata wapi binti kama huyo [emoji1787][emoji1787]
 
Yupo dada wa kazi hapa home,

Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa

Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)

Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata akitokea mgeni tunakosa chakumpa ili ale. Sababu yake anayotoa ni kua mgeni atoe taarifa mchana kabla hajaja ili share yake iwekwe

Anatujali tu sisi hapa wa nyumbani lakini si mkarimu kwa wageni

Ninachompendea anajua kupika sana, chakula chake kizuri

Nifanyeje abadilike?
Hama. Tafuta geto buza au wapi kule ujitegemee
 
Ila mkuu una fail sana big time unamlaumu kwa lipi hapo? Angekua anawanyima chakula ningekulewa sasa uchoyo wake upo wapi kupika kwa idadi ya familia aisehhh nimekushangaa
 
Huwez kujua umuhimu wa anacho fanya Kama unafugwa maana mifugo mfano ng'ombe huwa inawaza tu kula ikiletewa majani haiwazi kuacha akiba ya kesho
 
Mbona huyo dada yuko sahihi kabisa,

unataka awe anapika kingi kikibaki muwe mnamwaga,then uje tena kumlaumu.
 
Binti wa kazi anapokuja ni jukumu la mwenye nyumba kumuelekeza utaratibu wa ndani na vipi anapaswa kuishi kwa kufuata taratibu za nyumba yako. Kama anapika na kupanga anavyoona yeye ina maana nyumba haina utaratibu mnaishi kama mbugani...Asilaumiwe. Kama mnataka chai iandaliwe mapema mumuelekeze ratiba ya kuamka ili mpate chai kabla hamjaenda makazini. Chakula kama hakitoshi muelekezeni namna ya kuongeza ratio iendane na watu wanaokula.
Swala la kukirimu wageni pia nakubaliana na dada , hawezi kupika excess food kwa kuhisi mgeni atakuja ambae hana taarifa nae. Kuna namna nyingine ya kumuandalia mgeni bila kumpa chakula...nyumba isikose juice, chai, korosho/karanga, mayai au hata biscuit na snack nyingine mnazoona zinafaa kwa ajili ya mgeni mnaweza hata kumuandalia matunda sio lazima chakula.
 
Huwez kujua umuhimu wa anacho fanya Kama unafugwa maana mifugo mfano ng'ombe huwa inawaza tu kula ikiletewa majani haiwazi kuacha akiba ya kesho
Umembamiza vizuri
 
Mbona umeandika tungo tata sana ...dadawa kazi ni mchoyo how ..... pia hicho chakula unacho zungumzia ni chakula gani .... naomba uandike upya uzi wako then nyooooosha maelezo ikiwwzekana weka picha yake hapa tukushauri
 
Back
Top Bottom