Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

Mkuu, hakikisha unamla huyo Dada
 
Mbususu anamgawia mzee wa nyumba au nayo ni mchoyo pia... [emoji23] [emoji23]
 

Wewe ni me au ke? Kwamba msaidizi wako anakupangia cha kufanya kwako nawe unajiona mwenye familia?
 
huyo ni Dada wa kazi au maza house?
 
Nyie sindowatafutaji mwambie awe anapika kiasi mnachotaka nyinyi sio anachotaka yeye. I hope atasawazisha kipimo
 
Naungana na uchoyo wa Dada wa kazi kwenye bajeti ya mgeni...kuhusu msosi wenu mchaneni tu
 
YUKO vzr BINTI SASA wageni wa kuja kuja tu kama chafya wakome mjini hapa na akipika kingi lazima kitabaki ILI asbuh akile kipolo mtoto wa watu MWISHO wa siku awe na kitambi kama madancer wa twanga pepeta
Mkija kijijini tunawopokea vizuri sana hatuna hayo masimango na hamji hata na kitu bora sie tunawabebea mahindi, mchele kutoka kijijini na cha kusikitisha mnatuuliza tunaondoka lini


Hivi watu wa mjini mmekuaje mwanangu ?
 
House geli mnashindwa kumpa wajibu.

Au ni hiyo chai anakuwa amepikia maji aliyonawia ndo inakuzuzua

Mambo mengine oops
 
Mpimie CHAKULA Cha kupika
 
uyo dada safi sana natamani wife ajifunze kwake

maana anapikia ukoo familia ya watu 4

nshaongea nmechoka

na kiporo uwa halagii nakomaa nacho ,,,,,[emoji3][emoji3]
[emoji23]
 
Pika wewe cha wageni atajirekebesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…