Dada wa kazi ni mchoyo sana, nifanyeje?

uyo dada safi sana natamani wife ajifunze kwake

maana anapikia ukoo familia ya watu 4

nshaongea nmechoka

na kiporo uwa halagii nakomaa nacho ,,,,,[emoji3][emoji3]
Wako anafanana na wangu tu nimesema Hadi saiv nimechoka. Anapika chakula kama tuko 10 kumbe watatu tu
 
Halafu mgeni anakuja mida ya saa 6 mchana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli hata mimi huwa sipendi kurudi mara 2 jikoni.
Mtu kama anakuja ni heri kutoa taarifa.

Mimi mwenyewe huwa siendi Kwa watu mida ya kula tena bila taarifa,,kupeana kazi bila mpango.
 
Naomba number zake nione!
 
Haya mambo mwambie mume au mke wa hiyo familia. Wewe shemeji yake mke au mume unakuja kulalamika huku kama bwege. Waambie wanaokulisha hapo nyumbani wakusaidie. Ila nawe umri huu kajitahidi upate ajira siyo kulala kwa shemejio mnaolewa ukoo wote?


 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ndugu unazunguuka mbuyu au sio

Tumeelewa unachomaansha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…