Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

Khatari kuwa wao Sunna Sepetu waligawiwa mgao wa kiasi fulani kutokana na kufanikisha US$3.2 million zimfikie mastermind wa mchezo huo aliyekuwa yupo Africa.

Je walipewa kiasi gani kama gawio kutoka dili la US$ 3.2 milioni, hilo bado hatujafahamu .. .



Between 2013 and 2019, the defendants received approximately $3.2 million in proceeds from a fraud victim located in Texas. These proceeds were sent to bank accounts established by the defendants for various shell companies. The defendants then sent those fraud proceeds to the perpetrator of the fraud operating in Africa, while keeping a portion of the proceeds for themselves.
 
Na kama issue ikiwa serious na huyo perpetrator aliyeko Africa yuko kwenye nchi yenye extradition to the US, na wakamgundua/wameshamgundua

Anavutwa tu chap anenda kushughulikiwa US
 
Lazima kurunzi limepita na huku kwetu ili wakamilishe ushahidi wao.

Bado wale watakashishaji wa Arusha na kwingine Tanzania.
 
Wema toka st marys hadi leo 26 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati wengine tuko 4th floor
 
Back
Top Bottom