Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nilipoona jina Sunna nikajua ni ile ya Mtume SAWMZee Alikuwa ni Mkristo ila ilajiongeza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipoona jina Sunna nikajua ni ile ya Mtume SAWMZee Alikuwa ni Mkristo ila ilajiongeza tu
Kwa kesi hizo huko lazima anyoleweNa huko Hakuna Cha connection ya Judge 😂😂
Upande gani wa IT upo vizuri?Naomba kuingizwa kwenye issue za money laundering, nazimudu haswaaa.
Nilipoona jina Sunna nikajua ni ile ya Mtume SAW
Na huko Hakuna Cha connection ya Judge 😂😂
Ila usichokijua kabisa wanaijeria uchawi ndo umewasaidia wanadhinda kesi kiajabuNa huko Hakuna Cha connection ya Judge 😂😂
Asante mkuuWatoto wake wengi ni waislamu, mama wema ni muislamu, na hata watoto wake wengine wengi aliowazaa na mke mkristo wengi ni waislamu,, siunajua mazingira ya Zanzibar
Alishafariki tangu 2020Mkuu hivi yule kaka yao aliyekuwa Judge kule Zanzibar yupo hai? kuna kipindi nilisikia kifo cha kaka yao moja ila sikumjua yupi
Sio sunna ya kiarabu ni Suna toka SingidaAiseee mzee alikuwa na kitu mpka akakaa na mkewe na kumpa mtoto jina sunna 😄