Nilipoona jina Sunna nikajua ni ile ya Mtume SAWMZee Alikuwa ni Mkristo ila ilajiongeza tu
Kwa kesi hizo huko lazima anyoleweNa huko Hakuna Cha connection ya Judge ππ
Upande gani wa IT upo vizuri?Naomba kuingizwa kwenye issue za money laundering, nazimudu haswaaa.
Nilipoona jina Sunna nikajua ni ile ya Mtume SAW
Na huko Hakuna Cha connection ya Judge ππ
Ila usichokijua kabisa wanaijeria uchawi ndo umewasaidia wanadhinda kesi kiajabuNa huko Hakuna Cha connection ya Judge ππ
Asante mkuuWatoto wake wengi ni waislamu, mama wema ni muislamu, na hata watoto wake wengine wengi aliowazaa na mke mkristo wengi ni waislamu,, siunajua mazingira ya Zanzibar
Alishafariki tangu 2020Mkuu hivi yule kaka yao aliyekuwa Judge kule Zanzibar yupo hai? kuna kipindi nilisikia kifo cha kaka yao moja ila sikumjua yupi
Sio sunna ya kiarabu ni Suna toka SingidaAiseee mzee alikuwa na kitu mpka akakaa na mkewe na kumpa mtoto jina sunna π