Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.