Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Kumfukuza nyumbani kwa kubadili wito mtakuwa mmemuhukumu adhabu kubwa kulinganisha na kosa.Bila shaka kaumri kanasogea mbele na hivyo kwa ushauri mwacheni kumwandama kama yeye ni wa kwanza kufanya uamuzi wa namna hiyo.Naamini hakuja kizembe amekuja na mipango yake,subirini yatokanayo tu.Mleta mada mshauri mzee muwe wapole kwani hakuna mnachoweza kufanya,muda utasema
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kama hutonaki nipatie mawasiliano yake pm,
 
Nipe mawasiliano ya dada yako ili nimtangazie ndoa faster. Yaani miaka yote hii nilikuwa namsubiria yeye tu.
 
mbona wapo masista wengi tu waliovua vilemba na sasa ni wake na mama wazuri kbs WA familia...
mpeni support ili afanye uchaguzi sahihi maana Kuna styupido boys watampitia kumchakaza baiolojia kabla hajaland a real man.

babaenu naye aache uzombi wa kufukuza atakuja aibika ...
 
Usipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume

Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc

Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Miaka ya nyuma masista walikuwa wanasoma shule za serikali, sasa mmoja tulikuwa tunamuonyesha picha za ngono za wazungu miaka miwili baada kumalizia sekondari nilimkuta kaolewa na watoto wawili.
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Alichagua mwenyewe awe mtawa na kachagua mwenyewe aolewe. Sasa mbona mnalazimisha.

Mwacheni afanye anachotaka. Ameona hakulipi huko. Mnajali furaha yenu hamtaki yake, sasa lazimisheni s8ku aje akiwa mtawa na mimba juu. Kaamua kuwatunzia heshima mnasema anawaaibisha
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kashaonja utamu wa de liboloz🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee asimfukuze akae naye chini amwambie sasa umekuja njia sahihi
 
Nipe namba zake mkuu huko PM kwangu. Genyez zimemshinda kawa mkweli huyu niwahishie hiiyo pini mkuu
 
Kashaonja utamu wa de liboloz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee asimfukuze akae naye chini amwambie sasa umekuja njia sahihi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom