Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Miaka mingapi huyo.. niko na dogo wangu hapa..alikuwa major seminary.. baada ya theology (kipalapala) akaamua kuwa mlei
 
Kwani kakwambia ameandika hivi akiwa kwenye kituo cha kulelea watoto yatima?
Si kasema yupo nyumbani kwa baba na mama,sasa mama yake aliyemzaa yeye na dadaake,anakuaje sister?
Ila maswali mengine yanayotoka kwa watu wengine bhana.
Sasa anashangaa nini dada yake kuachana na huo upzi!
 
Huyo mzee wako mwehu nini?afukuze kwa nini??
 
Back
Top Bottom