Usipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume
Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc
Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??