Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Huwezi kwenda kinyume na sheria za maumbile
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Wewe unaongea kwa kujifurahisha, ama stori unayotulisha ni fake.

Mnakaa kikao cha majungu kumhujumu ndugu yenu bila kufuatilia mkataba wake wa utawa unasemaje!

Watawa siyo kama makasisi, huhiyari kuendelea ama kutokuendelea, wana mikataba yao na wengi tu walikuwa ni masister na baadaye wakamaliza mikataba yao na kuchagua maisha mengine.

Kwa nini ndugu yenu mumuundie zengwe badala ya kumsaidia?

Kaukoo kenu kote hakana hata mtu mmoja anayejitambua?
 
Kuwa na mimba ni aibu??
Sio aibu, ila kwa status aliyo nayo ya utawa akawafikia nyumbani na ujauzito na kuwaambia ameacha utawa vile mjamzito.

Nadhani niliiweka lkatika high level, sikuzingatia uelewa wa wanajf wengi
 
Nimekutana na mtawa( mwanaume) jana na,well, I was inhaling,and strange aromas were coming from this guy.
Kwa hiyo,usimlaumu dada yako.
 
Badala ya kushukuru kuwa ameanza kutumia akili yake ipasavyo mnasema anawaletea aibu. Aibu ni yenu mliyemruhusu kusomea mambo yasiyoeleweka, huko kuna manyanyaso sana. Ni Mungu gani aliyesema usiolewe ili ufanye kazi yake? Ukae pale wakunyonye, hata kama unafanya kazi , mshahara unaingia kwa shirika!!! Unyonyaji uliokubuhu, hongera sister kwa kugundua hilo.
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Muacheni aolewe aishi maisha yake anayoyataka.

Acheni kuchagulia wenzenu maisha ya kuishi.
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Jamaa naona unatumia code Kali kabisa,hembu fafanua kidogo.
Hapo sii usista tunaoufikiri
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Mwacheni tu ukiona hivyo ma father wamesha mtongoza hadi kachoka kaona kuliko kutenda dhabi madhabauni bora aolewe tu akapigwe vizuri..!
 
Kadanganyika tu.
Kapo ka vulana kanataka kumharibia.

Mtafutieni mshauri hata huyu Mauki au Mchungaji anayeaminika ili amshauri.

Msimfukuze nyumbani.
 
Kondoo kama kondoo nakuona umechachama! Amka hamnaga Mungu binaadamu mfu

Kwahiyo we ndo unawekaga sukari kwenye muwa au maembe??, we ndo uliumba jua na mbalamwezi?? Au baba ako ndo alitupa pumzi ya uhai ambayo tukiikosa tunakuwa mafala na kuomba msaada Kwa huyo unaemkana Leo??? Acha utoto na kuchuma laana kisa kupewa sifa za kwenye mitandao, kiburi ulichonacho ni Cha ujinga sio werevu.

Ndani ya Miezi mitatu kwanzia sasa utapitia jaribu Moja mujarabu na utajutia hiki ulicho andika, I declare in the mighty power of the almighty
Ifike mahala muelewe Kwamba free will is not free at all, there are consequences
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Mambo ya wito ni magumu sana kwa sababu nami nimeyapitia Kwa muda wa zaidi ya miaka 9. Unaweza A) ukajiona una wito, lakini walezi wako wa wito (formators) na taarifa wanazopokea kutoka sehemu mbalimbali ambako ulishakaa, wakaona huna. B) Unaweza kujiona huna wito, lakini walezi wako, na taarifa kutoka sehemu mbalimbali ambako ulishakaa zikaonyesha una wito, na wewe ni asset. Hivyo, kijana anayejiunga na malezi ya wito anaweza kujikuta yuko kundi A u B. Kijana ambaye yuko kundi A itabidi aonyeshe kwamba ana wito kupitia maisha yake, ufaulu katika masomo yake, etc ili ku'disapprove' ushahidi uliopo. Hii huwa ngumu sana. Kijana ambaye yuko kundi B anapata assurance ya walezi na watu wengine, na hata akiwa na weaknesses fulani anaweza kuwa tolerated (kupewa muda). Kijana anaporudi, ama mwenyewe ama Kwa kurudishwa na walezi, mara nyingi anaweza kuchanganyikiwa. Kwanza inakuwa si rahisi ku'cope' na maisha ya kawaida. Unakuta katika malezi aliamishwa ku'trust' watu, lakini uraiani anakutana pia na watu wadanganyifu wasiotakiwa kuwa trusted. Ni mbaya zaidi Kwa kijana wa kike kudanganywa na kudanganyika. Changamoto nyingine ni kupoteza imani, na kuishi as if hajawahi au hakuwahi kuwa kwenye malezi ya wito. Baadhi ya colleagues wamepoteza imani kabisa! Lakini kuna colleagues pia ambao, pamoja na kuachana na hayo maisha, Mungu amewabariki kuwa na mafanikio katika maisha yao, na wameendelea kushika imani yao. Huyo dada yako ingebidi apate mwongozo mzuri mwanzoni, otherwise anaweza kuharibikiwa katika maisha. Ila akiweza ku'cope' vizuri atashinda. Lakini ni lazima atapitia certain shocks.
 
Ina maana kwenye hii mada ni mimi tu ndo nimegundua huyu jamaa ni muongo na huwa analeta tu mada za kufanya ukristo uonekane haufai?

Juzi aliandika humu kwamba yeye ni muislam na anataka kumuoa mtoto mkristo wa kiarabu then familia inamkataa kisa huyu ni muislam, leo anajifanya yupo kwenye familia ya kikatoliki.
 
Mzee wako anachangamoto ya Afya ya akili. Sio bure.
 
Back
Top Bottom