Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

Ameyajua ambayo alikuwa hayajui, mpeni baraka zote aolewe.Nitatoa mchango kufanikisha harusi yake
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Kuna wajanja wamemuonjesha dudu dunga huyo, katafakari akaona utamu wa bwana haumithiliki na utamu wa dudu.
 
Usipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume

Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc

Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
Huwezi kusuluhishamgogoro WA wanandoa kama wewe Hujui Acha/Tamu ya Ndoa.ama Sijui wanandoa wawe wameamua kujizima Data
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Tandale napo pamekua mikocheni 🤔
 
Kwa hiyo unataka nini? Kuingia ni hiari na kutoka ni hiari, unaleta issue ya dada yako kwenye public ili iweje,
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Niunganishieeeeee
 
Mwachen aolewe kama ana taka kuolewa

Mnataka mumfukuze familia yenu hamjui wito ni nini

Ndoa ni wito na utawa ni wito kama hataki wito wa utawa mwachen aingie kwenye wito wa ndoa na ni ruhusa kabisa

Wamuache, kwa maana hana kosa lolote alilofanya. Aliamua yeye mwenyewe kwenda, kaamua mwenyewe kurudi. Pia kasema anataka kuolewa. Hana baya alilofanya. Je angekuja na mimba, sijui wangemmeza??

CC: Niite bazinkulu
 
Ukristo sio dini ya kweli.

Mungu ameagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia , wao wanaenda kinyume na haya maamrisho, mfano hao masister.
Kama Mungu aliagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia, Kwa nini kuna kifo?

Kama Mungu aliagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia, Kwa nini kuna kifo kinacho punguza idadi ya watu duniani?

Hakuna Mungu yeyote yule aliye agiza watu wazaane waongezeke waijaze dunia.
 
Usipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume

Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc

Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
Kondoo kama kondoo nakuona umechachama! Amka hamnaga Mungu binaadamu mfu
 
Nina jamaa yangu anajilia sista mmoja wa RC,yule sista anajua kabisa mwamba anamke ila ameakubali kuwa mchepuko wake.Mshukuru sana dada yako kuna jambo ameliona haliko sawa huko badala ya vikao visivyo na tija vya maamuzi ya mtu,shukuru angalau utapata wajomba 😀
 
Yaan huyo dada yenu tayari alikuwa analiwa hvyo kuna vitu kavikosa huko istoshe kusema tu kuwa dada yako ni mfupi na ni mnene hawa watu wafupi bila kusuguliwa akili haitulii
 
Yuko sahihi 100%
Kule wanao ponda Raha ni mapadr.. na mabrother.
Wengine ni watumwa wa kanis....
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Huyo keshaonja dudu akanogewa ndo maana akaamua kuachana na mambo ya usista
Kuna jamaangu mmoja hapa Dom naye anamkula sista mmoja wa Kanisa la hapa Jimboni Yaani mahusiano yana miaka miwili kabisa
Nilichojifunza hawa mapadre na masista wa siku hizi wanaingia huko wakiwa washaonja "utamu" hivyo hujikuta hawawezi kuacha tofauti na wale wa enzi za mababu zetu nasikia walikuwa wanachukuliwa mabikra kabisa wanaenda kusomeshwa hivyo mpaka wanahitimu mafunzo na kuanza kazi wanakuwa hawajui utamu wa mapenzi kabisa na walishazoea ndio maana waliweza kutulia na kutimiza majukumu yao bila kufanya uzinzi ila hawa wa siku hizi wanachukuliwa kimchongo na kujuana unakuta binti ashatoa mpaka mimba
 
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa

Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Uislam umeingiaje hapo?? Kwanini hujataja madhehebu mengine ambayo kuoa na kuolewa rukusa kwa yoyote yule kwa ndoa?? Unatangaza Uislamu wako kihuni hivyo??
 
Back
Top Bottom