mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Ameyajua ambayo alikuwa hayajui, mpeni baraka zote aolewe.Nitatoa mchango kufanikisha harusi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajanja wamemuonjesha dudu dunga huyo, katafakari akaona utamu wa bwana haumithiliki na utamu wa dudu.Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Huwezi kusuluhishamgogoro WA wanandoa kama wewe Hujui Acha/Tamu ya Ndoa.ama Sijui wanandoa wawe wameamua kujizima DataUsipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume
Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc
Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
Tandale napo pamekua mikocheni 🤔Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
NiunganishieeeeeeTupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Mwachen aolewe kama ana taka kuolewa
Mnataka mumfukuze familia yenu hamjui wito ni nini
Ndoa ni wito na utawa ni wito kama hataki wito wa utawa mwachen aingie kwenye wito wa ndoa na ni ruhusa kabisa
Kama Mungu aliagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia, Kwa nini kuna kifo?Ukristo sio dini ya kweli.
Mungu ameagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia , wao wanaenda kinyume na haya maamrisho, mfano hao masister.
Kondoo kama kondoo nakuona umechachama! Amka hamnaga Mungu binaadamu mfuUsipende kutanguliza ngono kwenye Kila swala katika haya maisha..
Hao wanaojitoa kama mapadre, mabrothers na masista sio utaratibu ulioshushwa toka mbinguni, ni namna mtu binafsi anapo amua kuexpress imani yake Kwa matendo Kwa kuzidhibiti haja zake Ili apate nafasi ya kutosha kuwatumikia wengine Kwa uwezo wake kama ilivyokuwa Kwa baadhi ya mitume
Hao masista au mapadre utawakuta ni waalim, ma nurse, wakili etc wengine hadi jeshini wapo.. anaamua kutokua na familia lakini unakuta ni mlezi wa watoto yatima kanisani.. mshauri wa maswala ya ndoa etc
Unaenda msibani unakutana na habari kwamba marehemu hajazikwa sababu padre anasuluhisha ugomvi na mkewe nyumbani au mtoto wake ni mgonjwa yupo hospital ICU!! KAZI ya Mungu itafanyika vizuri Mkuu??
🤣🤣🤣Sijaelewa amewaaibisha vipi? Kwani kwenye ukoo wenu mtu haruhusiwi kubadilisha mawazo?
We ni Padre au sister?Dada yenu ni mjinga, kashindwa kutumia "daraja" hilo kula mema ya dunia kwa mgongo wa mtawala wa dunia Vatican
Huyo keshaonja dudu akanogewa ndo maana akaamua kuachana na mambo ya usistaTupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Uislam umeingiaje hapo?? Kwanini hujataja madhehebu mengine ambayo kuoa na kuolewa rukusa kwa yoyote yule kwa ndoa?? Unatangaza Uislamu wako kihuni hivyo??Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa