Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Sijaelewa amewaaibisha vipi? Kwani kwenye ukoo wenu mtu haruhusiwi kubadilisha mawazo?Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa kanisa katoliki umemshinda anataka kuolewa daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi
ana umri gani mkuu?Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.
Ukristo sio dini ya kweli.
Mungu ameagiza wanadamu wazaane waongezeke waijaze dunia , wao wanaenda kinyume na haya maamrisho, mfano hao masister.
Kwa nn amfukize? Mzee wako mbona alioa ? Angeambiwa mke wake akawe mtawa nyie mngetoka wap? ,alaf Bora kaacha mapema kabla hajaaibisha Zaid!! Maana angeweza kubeba mimba akiwa mtawa ndo aibu ingewapiga kweny utosi!! Naona wanao acha utawai na kutaka wawe na ndoa zao wanaongezeka sana,,Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na butwaa kwanini anatuaibisha? Daaa haya mambo haya mbona magumu bora wale waislamu hawana haya mambo kabisa aisee! Mzee ame decide tumfukuze aende mbali huko asituabishe sisi.