malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Anapenda nn? Kwa sababu huo mtaji wake biashara zipo nying sanaDada yangu ana 30m ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani,nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Na biashara yake itakuwa bora sana,siyo?Boresha mwili mkuu. Kama ni me tafuta watoto shombe shombe ktk viwanja tofauti tofauti uwatafune.
Asiumize kichwa.Dada yangu ana 30m ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani,nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Biashara ni rais sana ukitypeBiashara ya Mgahawa / Chakula (Catering)
Duka la Jumla au Rejareja
Duka la vifaa vya ujenzi, saluni products, duka la nafaka, au duka la jumla la vinywaji.
Anunue vipande vya UTT HAMISDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Ameomba kupendekezewa biashara anazoweza kufanya dada yake kwa huuo mtaji.Biashara ni rais sana ukitype
Biashara za ku type kwenye simu..Ameomba kupendekezewa biashara anazoweza kufanya dada yake kwa huuo mtaji.
Kwa hiyo ulihitaji nisitoe mawazo kwa sababu ya mentality yako ya ajabu kuhusu biashara .?
Mtu akiomba mawazo yako, mpatie if possible, ishu ya kusema biashra za kutype sijui nini , hiyo siyo case yako.Biashara za ku type kwenye simu..