malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
- Thread starter
- #21
Ye ni mwalimu Sasa mda wakisimamia biashara mtihaniAnapenda nn? Kwa sababu huo mtaji wake biashara zipo nying sana
Ye ni mwalimu Sasa mda wakisimamia biashara mtihaniAnapenda nn? Kwa sababu huo mtaji wake biashara zipo nying sana
akili alizotumia kupata mtaji wa mil 30,ndizo azitumie kupata aina ta biashara na iwapo atashindwa kupata akili basi aziwekeze uttDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Biashara inategemeana mtu na mtu ,kama hajawahi Fanya biashara a chance na kuweka hiyo hela yote bali atafute biashara anayopenda au iliyopo ndotoni mwake aanze kidogo kidogoDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Yap! Hili ndilo wazo sahihi. Lakini swali linabakia, afanye Aina gani ya biashara?Kama hajawahi kuwa na biashara kubwa aanze tu biashara na mtaji wa chini ya milioni 10 then hiyo nyingine atakuwa anaiingiza kidogo kidogo
Akopeshe kama Kausha damDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Basi mm nashauir afanye vifuatavyoYe ni mwalimu Sasa mda wakisimamia biashara mtihani
Angalia zodiac yake na numerology ndio mchague afanye jambo ganiDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Ukishaona una mtaji/fedha halafu hujui ufanye biashara gani, basi una hatari kubwa ya kuanguka iwapo utafanya biashara. Hili jambo linawaangusha sana wajasiriamali wanaonza. Unakuta mtu anaulizia wenzake wanamwambia biashara fulani inalipa... anaingia kichwa kichwa....Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Yupo halmashauri ganiYe ni mwalimu Sasa mda wakisimamia biashara mtihani
Kama hiyo 3 Bado hajawekeza kwenye biashara inaitwa AKIBA, akiwekeza ndio huitwa mtaji!Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Huo mtaji ni mzur Mimi ningemshaur aingie kwenye biashara ya chuma chakavu kama atakuwA anajua Nini anachokifanya ndani ya mwAka mmoja ana karibia million miaDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara