Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,967
- 8,763
Angeshapoteza mil 10 kabakiwa na 20 sasa mpe mkeka mwingineKesho GG psg na madrid. Ijumaa tunamchinja twiga stars
Angeshapoteza mil 10 kabakiwa na 20 sasa mpe mkeka mwingineKesho GG psg na madrid. Ijumaa tunamchinja twiga stars
😂 Betting sio biashara ile ni starehe tuAngeshapoteza mil 10 kabakiwa na 20 sasa mpe mkeka mwingine
Yaaah nilitaka kumshauri hivyo,wadau wengi naona hatua zao kwa kupitia hiyo biasharaApo duka la vipodozi jumla na rejareja anatoboa chapu
Tafuta contena tafuta eneo lilowazi fungua vifaa vya ujenzi zungusha hela fasta utapata hela hiyo hela yake nyingi mno inatosha sanaDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Mwengine sii huo wa twiga na sauz mzeya yeye amchinje twiga starsAngeshapoteza mil 10 kabakiwa na 20 sasa mpe mkeka mwingine
Faida ya kutoshaNa biashara yake itakuwa bora sana,siyo?
Inategemea yeye anapenda nini....Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Kwanza eleza vzr pesa amezipataje anafanya kaz gani had apate pesa hzo au ninyi ndio wake wahujumu uchumiDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
Na ina faida sana ukisimuliwaBiashara ni rais sana ukitype
mambo? EX wako hajakutafuta tena?Afungue Barbershop au Saluni ya kike
Toa madini hapa hapa na wengine tufaidikeNjoo inbox nikupe madin
Kama vipi aje Dodoma hapa tuuze majeneza atatoboa chap!Dada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara