Kaka benki zenyewe sija wahi ingia, labda pale ubungo ndio naonaga zile atmHayo mahela ya mkupuo huwa mnayapata wapi aseee??
Katika pitapita zangu kumbe nae Intelligent businessman ana mamilioni benki mbalimbali kwa mkupuo tu.
Tena hii kwa sie vidume utakuwa unawala wake za watu kiulainiii. Yaani unabonyeza kizenji...mdebwedooooAkopeshe kama Kausha dam
Kesho GG psg na madrid. Ijumaa tunamchinja twiga starsOdds mbili tu kila siku kwa 10MView attachment 3398432
😂😂😂😂 Marejesho magum unapita naoTena hii kwa sie vidume utakuwa unawala wake za watu kiulainiii. Yaani unabonyeza kizenji...mdebwedoooo
Naona unalitendea haki jina lako🤔Ikitokea anatakiwa kijana wa kusomba mizigo stoo usinisahau mkuu.
Unakuta ni mwajira amechukua mkopo wa miaka 7akili alizotumia kupata mtaji wa mil 30,ndizo azitumie kupata aina ta biashara na iwapo atashindwa kupata akili basi aziwekeze utt
Ah kabisaaa ni mwendonwa kuwainamisha kwa desk lako tuu...vuta kyupi pembeni and slide innnn.😂😂😂😂 Marejesho magum unapita nao
oh hii itakuwa shidaUnakuta ni mwajira amechukua mkopo wa miaka 7
Sawa Prediction Office ||Odds mbili tu kila siku kwa 10MView attachment 3398432
Aje nimuoe hatojuta maana biashara ni experience Mimi Nina experience yeye aje na mtaji akili tunatumia zanguDada yangu ana Milioni 30 ataka kufanya biashara nimeshindwa mshauri afanye biashara gani
Nimekuja kwenu mtoe ushauri wa mawazo ya biashara
hiyo pesa akienda nayo kule kusini mikoa ya lindi na mtwara kwenye koroshoataibuka mshindi mara mojaYe ni mwalimu Sasa mda wakisimamia biashara mtihani
Toa hilo wazo hapahapa na wengine watafaidika, huko mp / PM ni utapeli tu.Mambooo,
Dada yako yupo mkoa gani ??
Karibu mp nikupe mchongo,zaid na zaid
Mkuu ndiyo naomba kazi hivyo hapa jamaa akinivutia waya tu naruka.Naona unalitendea haki jina lako