Dada yangu anaishi na bwana huu mwaka wa 4 hawajafika nyumbani kutambulishana wala kulipa mahari

Ok sawa,sasa mwite dada yako uongee nae kiutu uzima unweleze kwa kituo,usimfokee wala kumtukana,mwambie umuhimu wa ndoa,hata kama hakuna sherehe mradi tu ndoa ifungwe
 
Watu wanachukulia poa sana ili jambo ila usiombe likukute,jamaa yetu mmoja ametoka hom vzr asubuhi kwenda kazin kamuacha wife nawatoto wazima kabisa yupo kazini mida yasanne taarifa inakuja mke kafariki chanzo chakifo nikumwagika damu kupita kiasi inasemekana alikuwa anachoropoa mimba mana mtoto wao wapili alikuwa bado mmdogo sana,ebhanaeeh wazee walikuja wanataka mali nafaini jumla milion 5 wazee wamesimika hawanautani hatakidogo,wazee wabusara wakaenda kuongea na wazee wenzao dau likashuka hadi milion 4 hapo wazee wakasema hawashuki tena nawanataka iyo pesa keshi,kufupisha nikwamba iyo pesa ilipatikana baada yahapo tukaanza kukaguana wenyewe kwawenyewe kwayoyote anaekaa namtoto wawatu kinyemera lazima akajitambulishe
 
Bwashemeji jitahidi Leo uje nyumbani nimekununulia cha-cha-cha 🤣🤣
 
Boya huyu Mwamba sasa wewe ulitaka azalishwe tu halafu mwamba amtelekeze?
 
Bado hujasema 😂🤣
 
Kawekwa unyumba na mume wa mtu, huhaju tu ddaako ni mchepuko high class.. inawezekna kajengewa hadi nyumba
 
Dadako anaishi na mwanaume mpumbavu Sana asiye na akili hata chembe.
Ila Kuna uwezekano dadako ni mjinga pia
 
na tiGo analiwa
 
Ili dongo ni langu kabisa na nimekujua ila tambua dada ako na mimi tumekubaliana guishi hivi pole sana kwa
Maumivu ya kutokula mahari ya dada ako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…