Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

Ofa ofa!!!! GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Watu wengine waliumbwa ili waliwe tu na sio kuozwa wakaolewe na kuwa mke ws mtu. Sasa MUNGU alijua hilo ndo maana hakutaka ashike ujauzito maana alijua mtoto atateseka sana kuwa na mama wa hovyo hivyo.

Anyways, mwache aishi anavyotaka afollow ndoto zake.
 
Sasa mkuu naona hapo hapahitaji ushauri unaweza kulimaliza mwenyewe hilo, ila sasa hizo tarakimu za kutisha zilikua na umuhimu gani kuziweka ndugu
"" (Imebidi niweke kiasi ili mjue uchungu nilio nao)""

#YNWA
 
Back
Top Bottom