Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Kitendo cha kutomuheshimu mama yake tu kishakosea. Tumeambiwa Tumuamini Mungu na Mtume wake na tuwaheshimu wazazi wawili.

Huyu hajasoma dini bali kakutana na vigenge vya wahuni

Na Allah Amhidi
Wacha dhana mbaya kwa muislam mwenzio, ulishawahi kumuona kuwa hamuheshimu mama yake kama unavyodai?!

Huyo nabii Ibrahim tu baada ya kuona anapigwa vita na baba yake mzazi aliamua kuhama mji kutoka Iraq na kwrnda kuishi zake Syria na kisha Palestina!

Allah kaamrisha Hijra pale ambapo Muumin anaona kuwa hawezi kufanya ibada zake sawasawa! Huyo kijana kaamua ahame hapo kwao kutokana na mama yake kutaka aishi vile atakavyo yeye na si vile atakavyo Mungu. Sasa ili asimkwaze akaamua auhame mji.

Waislam wa leo hii lau kama mngemuona Mtume Muhammad ndevu alizokuwa nazo , mavazi aliyoyavaa n.k basi pasi na shaka mgekuwa wa kwanza kumpinga na kumuita chizi.
 
Ml
Mleta mada ni kumbafu
 
Ushafika hatua ya kumhukumia muislam adhabu ya moto wa jahannam utadhan ww ndie ALLAH.
 
Ishu ni wazazi kuona aibu pindi watoto wao wanapoamua kuifata dini na kushikamana na sunnah za Mtume Muhammad pbuh. Watakuita chizi, umechanganyikiwa , gaidi, siasa kali n.k kisa tu umeamua kushikamana na dini
 
Sahihi kabisa..ukienda MUHAS, BUGANDO,KCMC, St francis utaona Masister (Nuns) kibao wengine wakiwa ni wanafunzi wa udaktari na wengine ni madaktari na manesi ila huwezi kukuta wanasemwa vibaya kuwa ni machizi au wana siasa kali.
 
Ulivyo jahil (Mjinga) unadhani huko kwa Mungu nani atakuwa na daraja kubwa kati ya hao watoto wa viongozi uliowataja na huyo aliyeamua kushikamana na njia ya mola wake maisha yake yote?

FYI, ALLAH hajatuelekeza kuwa tuwafate kina Mwinyi,kikwete sijui Samia (hao si viigizo vyetu vyema) ! Bali ALLAH anataka tumfate na tumuige Mtume Muhammad (pbuh) tu
 
kwanini wote wakimbie????
 
Kuna mafunzo ya siri anapewa tokea akiwa mdogo.. Kwa masikitiko sana jamaa yenu amejiunga na kundi lenye msimamo mkali.... Mwambie mama yake atoe taharifa kwenye vyombo vya usalama.
 
Mimi naona unaohangaika zaidi ni wewe.

Kwanza kuhusu mavazi ya udaktari, juu hapo uliooanzia sijakuelewa, mbona mavazi rasmi ya kidaktari ni nusu kanzu? Cha ajabu nini yeye akivaa kanzu kwenda kazini?

Hapo naona wewe ndiyo upo braiwashed kufikiria kuwa kanzu siyo vazi la madaktari.

Hivi vazi rasmi ka kidaktari ni lipi? Tuanzie hapo.
 
Kuna mafunzo ya siri anapewa tokea akiwa mdogo.. Kwa masikitiko sana jamaa yenu amejiunga na kundi lenye msimamo mkali.... Mwambie mama yake atoe taharifa kwenye vyombo vya usalama.
Na wewe umeshajazwa ujinga na mleta mada.

Kama mleta mada yu mkweli, amlete huyo mjomba wake hapa kwenye mjadala tusikie na yeye anasema nini kuhusu huu upuou aliokuja kuupulizia mjomba'ke. Asitujaze ujinga.

Mjomba atiwe tu pesa alizoombwa na dadake, asitafute sababu za kukwepa kupitia JF.

Huyo mjomba mtu ana roho dhaifu tu, hakuna zaidi.
 
FaizaFoxy ndio anapenda vijana wa hivyo.
Mpaka sasa sijaliona kosa la huyo kijana. Au kuwa mcha Mungy ni kosa?

Nnachokiona ni mjombs kaonbwa million tano na dada'ke na mjonba anataka kukwepa kuzitowa kwa kujidanganya nafsi yake. Anatafuta sababu za kukwepa majukumu.

Tena inaonesha huyu mjomba mtu kishasaidiwa sana na dada'ke sasa dada anahitaji msaada, mjomba mtu nafsi inamsuta mpaka anahaha mitandao ya kijamii kwa jambo lake na dadake.

Ayabebe tu majukumu, mjomba ni mama
 
Kwa "tua maji" kwa hao watoto wako wengine umemaanisha nini? Funguka.
 
we sina shida na ww kichwa kina funza hiko mda tu
 
Mwambie dogo atafute kazi kwenye hospitali ya masingasinga au rastafari atafit huko; otherwise aendelee tu na mambo yake ya kohorani bila kubughudiwa. Kila mtu achukue 50 zake. Mama alimsomesha kijana wake kwa faida za kijana mwenyewe. Ikiwa kijana ameshindwa kufunzwa na mamaye mwacheni atafunzwa na dunia.
 
huyo jihadi anataka kwenda peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…