charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,848
- 4,146
Mnanikumbusha kukalea vizuri katoto kangu. Katoto chenyewe kamoja tu, kakiharibika kama hivi nitakuwa mgeni wa nani. Eeh Mungu nisaidie
Utalia kilio cha mbwa mdomo juu,Mungu akulindie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnanikumbusha kukalea vizuri katoto kangu. Katoto chenyewe kamoja tu, kakiharibika kama hivi nitakuwa mgeni wa nani. Eeh Mungu nisaidie
Wacha dhana mbaya kwa muislam mwenzio, ulishawahi kumuona kuwa hamuheshimu mama yake kama unavyodai?!Kitendo cha kutomuheshimu mama yake tu kishakosea. Tumeambiwa Tumuamini Mungu na Mtume wake na tuwaheshimu wazazi wawili.
Huyu hajasoma dini bali kakutana na vigenge vya wahuni
Na Allah Amhidi
Mleta mada ni kumbafuDada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 iliisha, ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.
Sister na sisi wajomba zake ikabidi tumuite Dogo tumkanye kuwa Uongozi wa pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
=====================
=====================
NINEONA BAADHI YA WATU WAKIMLAUMU SISTER KUWA JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKE HIVYO HAKUTAKIWA KULALAMIKA KUWA DOGO HAMSAIDII
JAMANI NIWAAMBIE TU MTU MWENYE JUKUMU LA KUSOMESHA NA KULEA KWA ASILIMIA KUBWA NI BABA LABDA AWE AMEFARIKI, NA DOGO BABA YAKE ALISHAKIMBIA MAJUKUMU HIVYO ALITAKIWA AJUE MAMA YAKE AMEENDA KUKOPA KARIBIA MILIONI 8 KUREPLACE JUKUMU LA BABA YAKE HIVYO ALITAKIWA DOGO ANAPOMALIZA SHULE AANGALIE KUWA MAMA YAKE HAKUWA NA HZO PESA NA ALIJITOA MUHANGA KUREPLACE NAFASI YA BABA YAKE ILI ASOME SO DOGO ALIPOMALIZA ILIKUWA NI MUHIM KUSAIDIANA NA MAMA YAKE MNAOSEMA KUWA DADA ASILALAMIKE NGOJENI YAWAKUTE
Ushafika hatua ya kumhukumia muislam adhabu ya moto wa jahannam utadhan ww ndie ALLAH.Kwa ufupi ni kwamba uyo jamaa hana dini na ajiandae kwenda kuchomwa kwenye moto Mkali wa jahanamu kama asipobadilika.. uislamu ni vitendo siyo maneno kwa mujibu wa Quran tukufu na sunnah za mtume Muhammad s.a.w uyo jamaa hana dini anapoteza muda bure tu uko kwenye darsa
Ishu ni wazazi kuona aibu pindi watoto wao wanapoamua kuifata dini na kushikamana na sunnah za Mtume Muhammad pbuh. Watakuita chizi, umechanganyikiwa , gaidi, siasa kali n.k kisa tu umeamua kushikamana na diniKijana yupo sahihi maana kusoma na kuwa daktari na kuendelea kumjua Mungu sio Jambo jepesi
Wengine tumeshuhudia watu hawajui Mungu wafiraji na Mashoga na wengine wanauza uchi sawa na bure so huyo kijana yupo sahihi Sana kumjua Allah na kufanya ibada
Kuhusu dada yako kulalamika Sana ,kabla hujaamuua kuzaa unabidi kujipanga kulea na kusomesha mtoto wako
Kama dada yako anazimia kisa mil 8-9 Mwambie aweke namba yake tumchangie kulpa Deni lake
Sahihi kabisa..ukienda MUHAS, BUGANDO,KCMC, St francis utaona Masister (Nuns) kibao wengine wakiwa ni wanafunzi wa udaktari na wengine ni madaktari na manesi ila huwezi kukuta wanasemwa vibaya kuwa ni machizi au wana siasa kali.Ni aibu kuyaanzishia mada maisha ya mwanadamu mwenzio aliyechagua njia yake bila kuvunja sheria ya nchi.
Nikuulize wewe mleta mada, mama yake kijana amekupa ruhusa kuja mitandaoni kushare family matters zake?.
Unajua upande wa pili wa shilingi wa kwa nini huyo kijana kaondoka bila kufukuzwa kazi?
Fuata maisha yako, kusoma kasoma yeye na ndevu zake, halafu unataka baada ya hapo ndevu azinyoe yeye.
Dogo atatoboa tu kwa kufanya anachokipenda usimpangie.
So far mpaka sasa hakuna disciplinary procedure yoyote ambayo dogo ameipata kazini, zaidi ya kupigwa majungu tu!
Wewe kwa akili zako unadhani angekuwa ni daktari wa kike sister wa kanisa katoliki anavaa mavazi yake kazini wangemfukuza kazi?- Nimeshakutana na masister wanafanya kazi ktk taasisi zisizo za kanisa na wanavaa mavazi yao, mbona hawafukuzwi kazi?.
Hoja hapa ni Islamophobia tu hakuna jingine.
Ulivyo jahil (Mjinga) unadhani huko kwa Mungu nani atakuwa na daraja kubwa kati ya hao watoto wa viongozi uliowataja na huyo aliyeamua kushikamana na njia ya mola wake maisha yake yote?Hv Kuna mtoto wa mkubwa yoyote,ambaye ni shekh,mchungaji?
Watoto wa mwinyi,karume,kikwete,Kuna ambaye ansvaa don't touch na makubazi akishinda akitembea kusambaza dini?,kwa Nini kama ni jambo la maana sana Hawa viongozi hawana hata mtoto anayefsnya hivyo,?
Watoto wao ni marubani Qatar,madokta bingwa,wafanyabiashara wakubwa!
Hakuna anayefsnya upuuzi wa dini?
Team makobazi naona mnajitokeza mmoja mmoja[emoji3]Sasa mavazi yana shida gani? Kama kavunja kanuni za kazi wampe barua yenye makosa yake siyo kwenda kushtaki kwa mama.
Hao shida yao ni uislamu tu na si mengine. Angekuwa anavaa rozari inaburuza mpaka chini wala wasingemgusa
kwanini wote wakimbie????ISHU NI MAISHA YA SISTER AMEPITIA LIFE GUMU SANA KUAZIA KWA WANAUME ALIOZAA NAO WOTE WALIKIMBIA MAJUKUMU AKAWA ANAELEA KIVYAKE NA UKIANGALIA PESA KARIBIA ZOTE ZA MSHAHARA WAKE AMETESEKA KULEA VIJANA WAKE HADI LEO AMESHINDWA HATA KUJENGA MWISHO WA SIKU HAO ALIOTEGEMEA KESHO WAMSAIDIE NDIO WAMEKENGEUKA
Mimi naona unaohangaika zaidi ni wewe.Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 iliisha, ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.
Sister na sisi wajomba zake ikabidi tumuite Dogo tumkanye kuwa Uongozi wa pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
=====================
=====================
NINEONA BAADHI YA WATU WAKIMLAUMU SISTER KUWA JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKE HIVYO HAKUTAKIWA KULALAMIKA KUWA DOGO HAMSAIDII
JAMANI NIWAAMBIE TU MTU MWENYE JUKUMU LA KUSOMESHA NA KULEA KWA ASILIMIA KUBWA NI BABA LABDA AWE AMEFARIKI, NA DOGO BABA YAKE ALISHAKIMBIA MAJUKUMU HIVYO ALITAKIWA AJUE MAMA YAKE AMEENDA KUKOPA KARIBIA MILIONI 8 KUREPLACE JUKUMU LA BABA YAKE HIVYO ALITAKIWA DOGO ANAPOMALIZA SHULE AANGALIE KUWA MAMA YAKE HAKUWA NA HZO PESA NA ALIJITOA MUHANGA KUREPLACE NAFASI YA BABA YAKE ILI ASOME SO DOGO ALIPOMALIZA ILIKUWA NI MUHIM KUSAIDIANA NA MAMA YAKE MNAOSEMA KUWA DADA ASILALAMIKE NGOJENI YAWAKUTE
Na wewe umeshajazwa ujinga na mleta mada.Kuna mafunzo ya siri anapewa tokea akiwa mdogo.. Kwa masikitiko sana jamaa yenu amejiunga na kundi lenye msimamo mkali.... Mwambie mama yake atoe taharifa kwenye vyombo vya usalama.
Mpaka sasa sijaliona kosa la huyo kijana. Au kuwa mcha Mungy ni kosa?FaizaFoxy ndio anapenda vijana wa hivyo.
Kwa "tua maji" kwa hao watoto wako wengine umemaanisha nini? Funguka.Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 iliisha, ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.
Sister na sisi wajomba zake ikabidi tumuite Dogo tumkanye kuwa Uongozi wa pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
=====================
=====================
NINEONA BAADHI YA WATU WAKIMLAUMU SISTER KUWA JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKE HIVYO HAKUTAKIWA KULALAMIKA KUWA DOGO HAMSAIDII
JAMANI NIWAAMBIE TU MTU MWENYE JUKUMU LA KUSOMESHA NA KULEA KWA ASILIMIA KUBWA NI BABA LABDA AWE AMEFARIKI, NA DOGO BABA YAKE ALISHAKIMBIA MAJUKUMU HIVYO ALITAKIWA AJUE MAMA YAKE AMEENDA KUKOPA KARIBIA MILIONI 8 KUREPLACE JUKUMU LA BABA YAKE HIVYO ALITAKIWA DOGO ANAPOMALIZA SHULE AANGALIE KUWA MAMA YAKE HAKUWA NA HZO PESA NA ALIJITOA MUHANGA KUREPLACE NAFASI YA BABA YAKE ILI ASOME SO DOGO ALIPOMALIZA ILIKUWA NI MUHIM KUSAIDIANA NA MAMA YAKE MNAOSEMA KUWA DADA ASILALAMIKE NGOJENI YAWAKUTE
Labda huyu mjomba'ke aliyeleta mada angefurahi sana huyo kijana angekuwa shoga.Maadamu hajawa shoga mshukuru Huyo Mungu wa wavaamakobazi
we sina shida na ww kichwa kina funza hiko mda tuMimi naona unaohangaika zaidi ni wewe.
Kwanza kuhusu mavazi ya udaktari, juu hapo uliooanzia sijakuelewa, mbona mavazi rasmi ya kidaktari ni nusu kanzu? Cha ajabu nini yeye akivaa kanzu kwenda kazini?
Hapo naona wewe ndiyo upo braiwashed kufikiria kuwa kanzu siyo vazi la madaktari.
Hivi vazi rasmi ka kidaktari ni lipi? Tuanzie hapo.
Mwambie dogo atafute kazi kwenye hospitali ya masingasinga au rastafari atafit huko; otherwise aendelee tu na mambo yake ya kohorani bila kubughudiwa. Kila mtu achukue 50 zake. Mama alimsomesha kijana wake kwa faida za kijana mwenyewe. Ikiwa kijana ameshindwa kufunzwa na mamaye mwacheni atafunzwa na dunia.Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.
Dogo akamaliza Advance akaaply Chuo cha udaktari Tanga huko, hali ilivyokuwa ngmu maana Baba yake hakuwa na msaada wowote Dada akakopa sh milioni 5 pale kazini kwake kwa ajili ya kumsomesha tena hiyo milioni 5 iliisha, ikabidi awe anapambana kuongezea hela sehemu nyingine, Dogo akapiga kitabu akamaliza kwa tabu sana.
Mwaka 2020 Dada kwa sababu ni Mkongwe pale kwenye Hospitali anayofanya kazi akafanya juu chini kumuombea nafasi na moja kwa moja Dogo akapata nafasi ya kuajiriwa kama Daktari
Balaa likaanza Dogo baada ya kuajiriwa tu akawa anakuja kazini Amevaa Nusukanzu, Kobazi na Kibarakashia huku Anafuga Ndevu kama Osama, hadi akawa anatisha waajiri wake ikabidi Sister aitwe haraka sana akaambiwa kuwa Huyu kama ni mwanao basi kaa nae umkanye mara moja kuwa Yale hayakuwa mavazi sahihi kwa mfanyakazi akashauriwa kuwa avae mavazi official ambayo yapo kwenye muongozo kwa mujibu wa kazi.
Sister na sisi wajomba zake ikabidi tumuite Dogo tumkanye kuwa Uongozi wa pale wamemkanya ajirekebishe ile ni Hospitali kubwa na ni lazima afuate miongozo, Dogo akawa mbishi na alipoona anazongwa sana kwa lile swala akaacha kazi kabisa kwa Hasira akaenda mikoani huko akawa anajihusisha na mambo ya kidini.
Kuanzia kipindi hicho Dada yangu ni presha za kupanda tu na kushuka, Juzi kati hapa hadi akazimia maana kijana alikengeuka akawa hamuheshimu na hana maisha ya kueleweka tena na ukiangalia amechoma zaidi ya milioni 7 kumsomesha na hadi leo hii hana kiwanja wala nyumba, amepanga.
=====================
=====================
NINEONA BAADHI YA WATU WAKIMLAUMU SISTER KUWA JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKE HIVYO HAKUTAKIWA KULALAMIKA KUWA DOGO HAMSAIDII
JAMANI NIWAAMBIE TU MTU MWENYE JUKUMU LA KUSOMESHA NA KULEA KWA ASILIMIA KUBWA NI BABA LABDA AWE AMEFARIKI, NA DOGO BABA YAKE ALISHAKIMBIA MAJUKUMU HIVYO ALITAKIWA AJUE MAMA YAKE AMEENDA KUKOPA KARIBIA MILIONI 8 KUREPLACE JUKUMU LA BABA YAKE HIVYO ALITAKIWA DOGO ANAPOMALIZA SHULE AANGALIE KUWA MAMA YAKE HAKUWA NA HZO PESA NA ALIJITOA MUHANGA KUREPLACE NAFASI YA BABA YAKE ILI ASOME SO DOGO ALIPOMALIZA ILIKUWA NI MUHIM KUSAIDIANA NA MAMA YAKE MNAOSEMA KUWA DADA ASILALAMIKE NGOJENI YAWAKUTE
kha! Sasa huu ni ushauri gani wewe bibi?Labda huyu mjomba'ke aliyeleta mada angefurahi sana huyo kijana angekuwa shoga.
huyo jihadi anataka kwenda peponi.Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu walifukuzwa shule yeye na wenzake 4 sababu ya kuanzisha makundi ya kidini yenye misimamo isiyoeleweka na kufanya vurugu, ikabidi Dada amtafutie shule nyingine private kwa gharama kubwa kumnusuru.