Dada yangu anapitia mateso makali sana sababu ya kijana wake kushika Dini hadi imemfanya amekuwa mjinga

Mimi naona dada yako anajitafutia matatizo bure! Huyo mtoto ni mkubwa siyo mtoto mdogo wa kumfanya hata pressure impande! Yeye alishafanyakazi kwa sehemu yake itoshe tu aendelee na mambo yake.
 
Wengi wanamlaumu Mama wa kijana. Yule Mama hana makosa,alitegemea mwanae atakuwa na maendeleo aje kumsaidia kulea wenzie na sio dhambi ndugu kusaidiana. Dini ni nzuri ukiishika kiasi
 
Wengi wanamlaumu Mama wa kijana. Yule Mama hana makosa,alitegemea mwanae atakuwa na maendeleo aje kumsaidia kulea wenzie na sio dhambi ndugu kusaidiana. Dini ni nzuri ukiishika kiasi
Ni kweli mkuu. Uzuri wa uislamu ni dini ya kati na kati. Mada imewasilishwa kwa scenario ya tatizo kutobainishwa kwa kina.

Na uislamu unahimiza kuwaangalia wazazi wawili kama walivyotuangalia sisi utotoni.
 
Anatakiwa aende gerezani hata kwa miezi mitatu, aweze kujifunza namna ya kuishi
 

Hii dini ina shida sana kwenye mafundisho yake.
 
Sasa mavazi yana shida gani?, kama kavunja kanuni za kazi wampe barua yenye makosa yake siyo kwenda kushtaki kwa mama.

Hao shida yao ni uislamu tu na si mengine. Angekuwa anavaa rozari inaburuza mpaka chini wala wasingemgusa
Kuna dress code katika kila taasisi. Kama shida ni uislam anzisheni mahospitali yenu muwe mnavaa makobazi, kanzu na mindevu mirefu. Tena kuna msemo mzuri " Tumikia kafiri upate ujira wako"
 

Acha kumtetea huwezi maliza kozi ya utabibu bila kufundishwa professionalism ethics za utabibu ambapo mavazi husika ya kazi ni moja ya suala la msingi,huyo dogo kesha kuwa itikadi kali hakuna la zaidi.
 
Mungu amsaidie huyo dada ni jambo gumu kama mzazi anaumia sana lakini akifanya mchezo atakufa amuache mtoto mimi nashauri amuombe Mungu sana ampe nguvu na aendele na maisha yake ni ngumu kama mzazi lakin hii ipo nje ya uwezo wake ametimiza majuku yake kama mzazi amemsomesha na kumsaidia kapata kazi the rest amuachie Mungu tu japo inauma
 
Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar , ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi
Je, kwani akimiliki msikiti au madrassa hapati pesa?
 
Anakosea Kutomuheshimu Bi Mkubwa dini Haisemi hivyo, akiendelea Kutomushimu Basi Hata Harakati zake za Dini Hazitamfikisha Peponi, Akae Vizur Na Bi Mkubwa amuelekeze Kuwa Yeye Kaamua Kuwa Mwanaharakati Kupambania Dini Yake. Then Aendelee Kupambana Sio Kila Mtu Lazime Ajiriwe Katika Carrier Aliyoisoma.
Yeye anaona Tayari Kaondoa Ujinga Basi Inatosha.
 
Ili kumsaidia, amsafirishe Afghanistan. Kule atakutana na wenzake
 
Wamzuie mapema, very soon watamwona alshabab au Msumbiji. Hao wa vinjiwa akili zao wapo tayari hata kumchinja mama mzazi kama hakubaliani na maisha waliyochagua. Unakumbuka wale wa ISIS Syria, mama alimkanya yeye akasema anamzuilia dini ya munyezi..., akamchinja mama mzazi aliyemzaa na anaamini anamtumikia huyo munyeezi...
 
Kuna dress code katika kila taasisi. Kama shida ni uislam anzisheni mahospitali yenu muwe mnavaa makobazi, kanzu na mindevu mirefu. Tena kuna msemo mzuri " Tumikia kafiri upate ujira wako"
Wapi kwenye utabibu wamekataza mhudumu kufuga ndevu?

Na kama alikosea, walifuata disciplinary procedure gani ili kumuweka sawa?

Kitendo cha kukimbilia kumshitaki kwa mama yake ni kwa sababu pengine waliona kisheria anawashinda, wakata wapitie lobbying kwa mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…