Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

Umemaliza uzi ufungwe
 
miss pablo kweli unatujuwa wahuni ulipi pata mirinda nyeusi nalipa alaf
Id yako imekaa kipablo sana
 
Kula tano mkuu, Mimi binafsi Niko hivyo, nakumbuka wakati fulani nilikuwa natamani nimpate mwanaume ambae kapitia anasa zote na nilivyopata akapropose sikuchomoa na huwezi amini namshukuru Mungu kwa Hilo, na mwenye maadili ya kipadri nikampiga chini,, wanawake akili zetu sielewi tukoje
 
Mungu akupe maisha marefu 🌹
 
[emoji3][emoji3][emoji3] huyo mwenye kovu ndiye anayefaidi vyote, huyo sharobaro itakuwa kazi yake kunywa fanta chips haa haa haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo twambie siri ya upendo wako kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio yule hata mkiwa mmekaa hata kugusa kidole cha mpenzi wake hawezi yupo kama dubwasha lakuwekea sigara, tupa kule [emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahuni aka f*ck boys ni mitambo ya kutengeneza single mother na wana wagonga haswa, wale ndugu zangu waseminali wanaonekaga hawana maana mwanzoni, ila binti akienda huko na kuvurugwa haswa akili zina mrudi na kumkumbuka mseminari.

Akirudi mseminari kaoa na yy ana mtoto baba yake hana time nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…