Dada zangu, mtatoboa kweli?

Dada zangu, mtatoboa kweli?

Kwahiyo nikitaka kuongeza Uzao wa Grahams Hilo Robot litaweza kunizalia?

Alafu kuna style zangu pendwa nahisi hilo Robot nitalivunja bure πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
Nasikia ilo robot limetengenezwa kwa intelligence kubwa yaani ni zaidi ya manta kwa jinsi linavyonyumbulika lakini haliwezi kuzaa tu.... Naona udenda ubanitoka nipeni koneksheni ya kulinunua ili likitu.
 
Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' .
Tutakwenda China, huko wanaume wengi kuliko wanawake.
 
Kwahiyo nikitaka kuongeza Uzao wa Grahams Hilo Robot litaweza kunizalia?

Alafu kuna style zangu pendwa nahisi hilo Robot nitalivunja bure πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
Hujasikia habari za artificial womb? Hicho mbona kitu kidogo. Linabeba mimba freshi tuu. Halafu linakuuliza kabisa unataka mtoto wako awe na IQ ngapiπŸ˜….

Kuhusu style, fanya zote uwezazo. Huwezi kulivunja hilo. Mtengenezaji amezingatia style zako zote.
 
Mpaka hapa kwa tuliochangia uzi tupo wafuatao;

1) Ambao hatuna na hatujawahi kushika Milioni 40.
2) Ambao wana milioni 40 ila siyo kwaajili ya kununua roboti.

Tutaendelea kuburuzwa na hawa wadada hadi tunyooke.
 
Used linaweza kuwa cheapπŸ™‚
 
Hujasikia habari za artificial womb? Hicho mbona kitu kidogo. Linabeba mimba freshi tuu. Halafu linakuuliza kabisa unataka mtoto wako awe na IQ ngapiπŸ˜….

Kuhusu style, fanya zote uwezazo. Huwezi kulivunja hilo. Mtengenezaji amezingatia style zako zote.
Mbona yule mwenzetu wa Uganda inasemekana alivyoliweka robot lake style ya Popo Kanyea mbingu, Robot lilikatika πŸ˜…

Ila sitaki kuamini kuhusu mahusiano na robot, itakuwa haina tofauti na kupiga punyeto tu πŸ™Œ
 
Unajua kuna robot, na toy. Usichanganye.
 
Kuna mitambo humo inachakata sperm na kuwa mvuke na kuishia hewani.
Hivi litakuwa linaoga au ndio kulidinya mpaka siku ulichoke,

Hii dunia hii,

Sipati picha mwaka 2100 itakuwaje.

Twende mbele turudi nyuma ku.ma "og" ni "og" tu, hayo magaka mi hapana.
 
Nasikia ilo robot limetengenezwa kwa intelligence kubwa yaani ni zaidi ya manta kwa jinsi linavyonyumbulika lakini haliwezi kuzaa tu.... Naona udenda ubanitoka nipeni koneksheni ya kulinunua ili likitu.
Nina hakika hilo Robot limetengenezwa na Wazungu, sasa tangu lini Mzungu akawa fundi Kitandani.

Mafundi tunao sisi huku uswahilini wakina Mwajuma
 
Hivi litakuwa linaoga au ndio kulidinya mpaka siku ulichoke,

Hii dunia hii,

Sipati picha mwaka 2100 itakuwaje.

Twende mbele turudi nyuma ku.ma "og" ni "og" tu, hayo magaka mi hapana.
Ilo unaliosha, na linajoto kutegemeana na mazingira, lina mbunye yenye mnato usiokuwa na harufu kama dada zetu hawa.
 
Back
Top Bottom