Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Vip huko ubao unasomaje au bado wanaume wote ni umbwa? πTutatoboa tu ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip huko ubao unasomaje au bado wanaume wote ni umbwa? πTutatoboa tu ππ
Nasikia ilo robot limetengenezwa kwa intelligence kubwa yaani ni zaidi ya manta kwa jinsi linavyonyumbulika lakini haliwezi kuzaa tu.... Naona udenda ubanitoka nipeni koneksheni ya kulinunua ili likitu.Kwahiyo nikitaka kuongeza Uzao wa Grahams Hilo Robot litaweza kunizalia?
Alafu kuna style zangu pendwa nahisi hilo Robot nitalivunja bure ππππ
Wote mbwa natafuta lijibwa langu ntakalo limuduVip huko ubao unasomaje au bado wanaume wote ni umbwa? π
Kuna mitambo humo inachakata sperm na kuwa mvuke na kuishia hewani.Hivi haya madude, sperm huwa zinaenda wapi?? Yana mechanism gani ya kuchakata sperm wanazo mwagiwa?
Itafahamika tu ngojeniWote mbwa natafuta lijibwa langu ntakalo limudu
AiseeKwahiyo nikitaka kuongeza Uzao wa Grahams Hilo Robot litaweza kunizalia?
Alafu kuna style zangu pendwa nahisi hilo Robot nitalivunja bure ππππ
Tutakwenda China, huko wanaume wengi kuliko wanawake.Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' .
Hujasikia habari za artificial womb? Hicho mbona kitu kidogo. Linabeba mimba freshi tuu. Halafu linakuuliza kabisa unataka mtoto wako awe na IQ ngapiπ .Kwahiyo nikitaka kuongeza Uzao wa Grahams Hilo Robot litaweza kunizalia?
Alafu kuna style zangu pendwa nahisi hilo Robot nitalivunja bure ππππ
Used linaweza kuwa cheapπMpaka hapa kwa tuliochangia uzi tupo wafuatao;
1) Ambao hatuna na hatujawahi kushika Milioni 40.
2) Ambao wana milioni 40 ila siyo kwaajili ya kununua roboti.
Tutaendelea kuburuzwa na hawa wadada hadi tunyooke.
Mbona yule mwenzetu wa Uganda inasemekana alivyoliweka robot lake style ya Popo Kanyea mbingu, Robot lilikatika πHujasikia habari za artificial womb? Hicho mbona kitu kidogo. Linabeba mimba freshi tuu. Halafu linakuuliza kabisa unataka mtoto wako awe na IQ ngapiπ .
Kuhusu style, fanya zote uwezazo. Huwezi kulivunja hilo. Mtengenezaji amezingatia style zako zote.
Vipi Mkuu wanguAisee
Unajua kuna robot, na toy. Usichanganye.Mbona yule mwenzetu wa Uganda inasemekana alivyoliweka robot lake style ya Popo Kanyea mbingu, Robot lilikatika π
Ila sitaki kuamini kuhusu mahusiano na robot, itakuwa haina tofauti na kupiga punyeto tu π
Hivi litakuwa linaoga au ndio kulidinya mpaka siku ulichoke,Kuna mitambo humo inachakata sperm na kuwa mvuke na kuishia hewani.
Ooh.......utofauti wake ni upi? Maana yote ukitaka kufika ni lazima uvute hisia kwa Mwajuma ndala ndefuUnajua kuna robot, na toy. Usichanganye.
Nina hakika hilo Robot limetengenezwa na Wazungu, sasa tangu lini Mzungu akawa fundi Kitandani.Nasikia ilo robot limetengenezwa kwa intelligence kubwa yaani ni zaidi ya manta kwa jinsi linavyonyumbulika lakini haliwezi kuzaa tu.... Naona udenda ubanitoka nipeni koneksheni ya kulinunua ili likitu.
πππππItafahamika tu ngojeni
Ilo unaliosha, na linajoto kutegemeana na mazingira, lina mbunye yenye mnato usiokuwa na harufu kama dada zetu hawa.Hivi litakuwa linaoga au ndio kulidinya mpaka siku ulichoke,
Hii dunia hii,
Sipati picha mwaka 2100 itakuwaje.
Twende mbele turudi nyuma ku.ma "og" ni "og" tu, hayo magaka mi hapana.