Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Amehamia kwangu
Kwa sababu ya kutoheshimu mtu eti achana naye huyo ni hamnazo wewe unazo kwa hiyo unajua mtu mnamuona waaina fulani kisa nyie mnajua nini dada acha dharau ipo siku dharau hiyo itakubebesha msalaba usioweza kuutuwa kisa unamadharau sijakosa mume mtaani ujue .
So usidhani humu ndio nimehamia wachumba zenu humu wapo tu sina time now.
 
Kibaya nikusingizie na kuna mahali uliniona nakusema??? Tafadhali usinibandike mizigo yangu mwenyewe siiwez natafta wa kumtwisha,jaribu kubadilika katoto sawa?
Tatizo anaaattack watu ovyo ovyo au ndio ajisemee yna2 kuwa ni attention seeker?
 
Hahahahhhahahaa.. ila wewe hapana kabisa
Ulienda arusha ukata mwanaume jana nikaona uzi upo mwanza unataka mwanaume...halafu unataka kuolewa JF?

Uchi huo huo mmoja?!
 
Simuelewi shoga angu kama watu tu humu wanavyosema huwa uandishi wake una makengeza[emoji102] ....sema namuonea huruma mweeh!
Jana alinijibu kitu sikukielewa nikahisi nna usingizi, nilivyoamka nikarudia kukisoma bado sikuelewa anamaanisha nini. Stress mbaya sana asiee
 
Hakuna kitu kinafikirisha kama mwanaume akuombe hela. Yani unajiuliza huyu ananionaje? Kwamba mimi nina hela au? Mwanaume wangu siku akajiroga kuniomba hela wakati zake sijala ajue anakula buroku la maisha
Ishu ya kuombwa hela nadhani kina kaka kwa sasa mnaongoza jamani, mimi mpaka nimeamua mapenzi basi mnapiga vibomu mnooo mpaka unajiuliza huyu mpenzi au marioo, kwakweli mnakera.
 
Heshima haiji bure kama wewe mwenyewe haujaitengeneza

Jifunze kubadilika..jifunze kupokea Yale uambiwayo na kuyahifadhi mazuri yatakayokusaidia na mabaya achana nayo

Usiwe na tabia ya kuchukulia mambo seriously humu

Utaongeza presha na mwisho wako huenda ukawa sio mzuri

Badilika na utaona jf ni mahala pazuri pa kufurahia na sio kupovuka ovyo


BADILIKA Mwanamke mzuri
 
A-men
Chaguo ni lako mzee baba either uhonge ama ukapige nyeto. Tutafute hela wazee sio kulialia tuuu . Wanawake ni mapambo kwetu lazma tuwabembeleza na kuwapatia mahitaji kama tunavyofanya kwa watoto wetu.
 
Haeleweki kabisa...its like kuna kitu kibaya kafanyiwa na wanaume wa humu!...maana comments zake naonaga shutuma tu...anataka wanaume wa nje[emoji23] [emoji23]
Ila wity kwa hilo ta...ko ukiniomba hela nakupa tu. Ila andika vitu vyooote kwenye invoice moja hahahahaaaa
 
Heshima waanze wao ukitaka kwenda kupumzika unakuta mtu amekukera kwa jambo fulani.
Lazima umjie juu watu now tumekuwa hatuwazi jamii forum tena .
Watu wanawaza maisha watayafanyaje unajua humu watu wengi wameiona jf nisehemu yakipekee.
Nope jf ni mahali kama facebook instagram na zingine so muwe na amani dah mnapaogopa eti wanaume watawaonaje au watu ukiogopa watu watakunyea kama nini.
Ishi kama wewe unavyotaka kuishi.
 
Nikukanushe hapo kwenye mchumba...sina mchumba humu my dear..na kama unahisi nimekuambia hamnazo sababu nahisi unanichukulia mchumba humu...umechemka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu naona wanasema kila siku anaaga. Kumbe ni muagaji maarufu na haondoki
Jana kaaga na kaapa harudi nashangaa leo namuona online akijibu hoja. Hahaaaaa watu na stress zao ni shidaaaa
 
Me kuna mmoja tume anza kuchat leo leo.. kesho yake aka omba ela.... nilivo mzingua sasa.. ali niponda kinoma mpaka nka mtia block
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…